Askofu Ashutumiwa kubaka huko Mwanza

Askofu Ashutumiwa kubaka huko Mwanza

Status
Not open for further replies.
Hawa manabii wa uongo wamejaa kona kona siku hizi
 
Mkuu kwenye nyuzi za namna hii wale makafiri kina Ishmael 2013 matumbo antibalaka Eiyer na wengine weengi huwakuti wakitia neno hata moja.

Wanashangilia tu kuona KIONGOZI wao ANAFANYA kile alichotumwa na yesu wa msalabani.

Wao si wanaamini kuwa Eti alikufa kwa ajili ya madhambi yao!

Sasa hata kubaka kwao ni sawa tu.

Na wakiingia hapa badala ya Kumlaani basi wataanza ile mipasho yao ya rusha roho.


Wana laana ya MUNGU hawa.

Bint yangu remote atakuwa salama lakin??


Hayajamsibu haya ya kubakwa kweli?

Maskin remote bint yangu wa kufikia sidhan kama amesalimika.
 
Last edited by a moderator:
Mungu atunusuru kwaa maana hawa wachungaji wa kuwaangalia kwa macho wanatisha ni wafuasi wa pepo
Mungu atupe macho ya rohoni
Haya makanisa yaanzishwa kama SACCOS ndiyo madhara yake hayo, Mtu anasajili kikundi chake na tena chawezekana ni cha familia halafu anajiita askofu lakini matendo yake ni yale yale ya ushetani...na wengine wametimuliwa kwenye makanisa yao ya awali kwa sababu ya mambo ya kishetani kama haya, sasa badala ya kutubu anakimbilia kuanzisha eti kikanisa, sasa unategemea nini kama sio kuongeza mapepo ya ngono kila mahali.

 
Mkuu kwenye nyuzi za namna hii wale makafiri kina Ishmael 2013 matumbo antibalaka Eiyer na wengine weengi huwakuti wakitia neno hata moja.

Wanashangilia tu kuona KIONGOZI wao ANAFANYA kile alichotumwa na yesu wa msalabani.

Wao si wanaamini kuwa Eti alikufa kwa ajili ya madhambi yao!

Sasa hata kubaka kwao ni sawa tu.

Na wakiingia hapa badala ya Kumlaani basi wataanza ile mipasho yao ya rusha roho.


Wana laana ya MUNGU hawa.

Wakristo ni wachamungu pia wakristo hawatakabari wakijua haki huifuata.hii ni according to Koran na ujumbe wa mtume.pamoja na uprofeti wake wa uchwara lakini hapa ali-admit mwenyewe bila kuwekewa panga shingoni.nadhani bado ni mtuhimiwa tuache sheria ichukue mkondo wake.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni MFUASI WA YESU WA MSALABANI.

We hushangai wale Makafiri wote hawamo humu kuja kuleta porojo zao!

Wameshaona mwenzao kabaka wao wanashangilia kimya kimya.

Mbwa kabisa Hawa wabakaji.

Hivi huwa mnafunga kwa sababu gani vile? Mdomo mchafu kama toilet!
 
...e Baba hivi ni kweli umewatuma manabii wengine!?, kila siku makanisa yaanzishwa mengine, huyu nabii na yule nabii wanawaponda manabii wengine, wanahubiri utajiri na sio kitu kingine...." (Kala Jeremiah)! ... sasa wamegeuka kuwa wabakaji na kuchukua wake za watu kama wanadhambi wengine!, Wanatumia jina lako kujitajirisha kama matapeli wengine!,.
 
teh teh teh !!!!

another christ follower has done it again..

hatarii ,hii dini inamashaka sii bure.
 
Si malaika kwamba hajaribiwi wala hatendi dhambi....ahukumiwe kulingana na makosa yake...
 
Duhhh! Hivi kumbe na MAASKOFU WANA MAPEPO YA NGONO?

Padri matumbo alikuwa anasema ni wanakondoo tu ndio wenye mapepo yanayotakiwa kutolewa na MAPADRI na MAASKOFU.

Sasa km huyo ASKOFU ana pepo la NGONO, ni nani WA KULITOA.?

AU KADINALI PENGO bin MWANYA?

teh teh

au itabidi ianzishwe root ya ndege au meli mpaka vatcan ili wakamalizane wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Avangelism ,Edson Mwombeki(42) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi mwenye miaka 16.

Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.

credt:Mwananchi.

hiyo ni aina gani ya bible askofu alikuwa akimfundisha huyo binti?
 
Hii IMANI NI MAJANGA TU.
Bora Serikali IPIGE MARUFUKU Mashetani hawa wasiendelee kubaka watoto

Imani ipi?. Kwani hiyo imani inafundisha mtu kutenda maovu?. Ua ni mtu mwenyewe binafsi?. Acha porojo bhana.
 
mnafanya ngono ionekane kama imeanza leo bna... akikutwa na hatia apigwe jela, kazi ndogo sana hiyo...
 
Hapa atakuja kafiri Fulani ataanza kuleta aya zake zakutunga kugeuza Uzi
Wanabaka,wanalawiti,mwisho wameowa mpaka mbwa,sijui Dada zao na wao wakiolewa na mbwa watalalamika!
Mtu achore picha atengeneze sanamu halafu analiabudu eti mungu kuna ujinga zaidi ya hicho?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom