Askofu anaswa na Madawa ya Kulevya

Askofu anaswa na Madawa ya Kulevya

Huyo polisi kwenye ngazi!!!

Nishasema hakuna mNigeria mwema. Hawa watu wote waongo, wezi, ujanja ujanja mwingi. Askofu gani anafanana na hivyo!!

Uhamiaji waache kutoa visa kwa wanigeria hawana jema hawa watu. Hakuna cha maana wanachofanya Tz zaidi ya kuuza unga tu.
HAAA!:smile-big::smile-big: ANA DALILI ZA UFISADI MDOGO,(RUSHWA)
HIVI HII NCHI VP?
ATAWEZA KIMBIZA MTU KWELI?
 
Msibaaaaa Innalilahi Wainailaihi Rajiun nipo upande wa pili nimetulia kimya, nikijiuliza hawa wageni waharibifu wa watoto na wajukuu zetu nani anawapa au kigezo gani kimetumika kuwapa Res. Permit na working permit kwenye nchi yetuuuu!!!?? ?
 
Yani jamaa anaonekana mpigaji kabisa halafu anajiita askofu kha bahati yake mbaya sikuingia hapo kwenye danguro lake ningeshamstuki long time
 
Huyo polisi kwenye ngazi!!!

Nishasema hakuna mNigeria mwema. Hawa watu wote waongo, wezi, ujanja ujanja mwingi. Askofu gani anafanana na hivyo!!

Uhamiaji waache kutoa visa kwa wanigeria hawana jema hawa watu. Hakuna cha maana wanachofanya Tz zaidi ya kuuza unga tu.

Nami askari kaniacha hoi....Askofu akipiga kona mbili tatu za marathon, askari atamkuta kweli?
 
Huenda wako smart zaidi au system wameiweka mkononi au kuna sababu nyingine yeyote inawabeba. Believe me wao pia wanashiriki kwenye hii kitu.

Hathubutu kutumia jina la wadhifa wowote katika dini kwa biashara zake za haramu, weee weee atakuwa hajipendi mkuu. Upande wapili haturuhusu ujinga huu ati ajiite nani?
 
Huu utitiri wa makanisa unawezekana ni blanketi la kufunika maovu. Ndio maanda wachungaji/maaskofu wanapatikana na madawa ya kulevya.
 
Huyo polisi kwenye ngazi!!!

Nishasema hakuna mNigeria mwema. Hawa watu wote waongo, wezi, ujanja ujanja mwingi. Askofu gani anafanana na hivyo!!

Uhamiaji waache kutoa visa kwa wanigeria hawana jema hawa watu. Hakuna cha maana wanachofanya Tz zaidi ya kuuza unga tu.

Amini usiamini, mtu yeyote kupata visa ya Nigeria ni ngumu sana hata ukipewa unapewa muda mfupi sana na uwapo kule unafatiliwa. Ajabu ni Tanzania ukiingia umeingia unapewa hadi mke na nyumba hadi kazi na unaruhusiwa kufungua kampuni {investor!}
 
Hathubutu kutumia jina la wadhifa wowote katika dini kwa biashara zake za haramu, weee weee atakuwa hajipendi mkuu. Upande wapili haturuhusu ujinga huu ati ajiite nani?

Kwanini ujiapize kiasi hicho na huna data za uhakika? Wewe unawafahamu masheck wote Tanzania na muda wote uko nao? Wakisafiiri nje unasafiri nao siku zote?Tukupe facts?
 
Kwanini ujiapize kiasi hicho na huna data za uhakika? Wewe unawafahamu masheck wote Tanzania na muda wote uko nao? Wakisafiiri nje unasafiri nao siku zote?Tukupe facts?

Nilikuwa namaanisha hv hawezi kufungua msikiti wake yeye akapata wafuasi wake yeye akajiita Mtume na Nabii Juma halafu akafanya upuuzi wake huo ati anaangaliwa tu, kama hao jamaa wanavyolichafua na kulishusha thamani jina la Askofu, hebu jiulize ule msikiti wa South Afrika umeishia wapi? Jamaa alionywa akaleta kibri akavuna alichopanda. Kutamka neno Allahu Akbar kwetu sisi ni zito sana mkuu halafu aongeze yeye ni Nabii na Mtume!! Sio rahisi kunielewa namaanisha nini mkuu
 
Amini usiamini, mtu yeyote kupata visa ya Nigeria ni ngumu sana hata ukipewa unapewa muda mfupi sana na uwapo kule unafatiliwa. Ajabu ni Tanzania ukiingia umeingia unapewa hadi mke na nyumba hadi kazi na unaruhusiwa kufungua kampuni {investor!}

Yani waTz akili tumekalia. Unga na habari za utapeli zinaongezeka na uongezekaji wa wanigeria nchini, kila siku wanashikwa na wengine wana pass za TZ kabisa ila bado hatujifunzi
 
Tatizo hiki cheo cha Askofu kadri siku zinavyosonga mbele kinazidi kupoteza hadhi yake kwa jamii , kila mtu Askofu.... khaaa mnakera, ona sasa hadi mateja /mazungu ya unga nao wanajiita maaskofu, jamani Muogopeni MUNGU ndugu.

Hakika siku za mwisho zitaambayana na matukio mengi ya kutisha na kuogofya kama maaskofu kuuza na kutumia madawa ya kulevya kama huyu .

A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach; Not given to wine, no striker, not greedy of filthy lucre; but patient, not a brawler, not covetous; One that ruleth well his own house, having his children in subjection with all gravity; (For if a man know not how to rule his own house, how shall he take care of the church of God?) Not a novice, lest being lifted up with pride he fall into the condemnation of the devil. Moreover he must have a good report of them which are without; lest he fall into reproach and the snare of the devil.” 1 Timothy 3:1-7 (KJV)
 
Sasa na wewe kwa akili yako fupi kama kobe unaweza kumwita huyo mhuni Askofu ?.Maaskofu wapo Roman Catholic,KKKT,Anglican,Africa Inland Church na makanisa yanayofanana na hayo haya makanisa yanayozuka kama uyoga hakuna Askofu wala Nabii au Mtume ni wahuni watupu hawana lolote utakuta makanisa yao yamesajiliwa kwa majina yao siku akifa Mama anaondoka na mali zote waumini wanaachwa mbuzi kitu kama hiki huwezi kukiona KKKT au Catholic .

Soma gazeti limemuitaje.

Huko RC wana aibu kuliko hiyo ya unga.
 
Naona sasa wanaanza mis use jina Askofu
Huyu nae askofu?
 
Back
Top Bottom