Askofu anaswa na Madawa ya Kulevya

Askofu anaswa na Madawa ya Kulevya

Huyu sura yake inaonyesha si mtu wa dini - wanatumia dini visivyo laana kubwa
 
Ungeandika hivi " TAPELI LA KI NIGERIA LINALOJIFANYA ASKOFU LANASWA NA DAWA ZA KULEVYA" Brother unavyotumia neno askofu ni neno takatifu sana sio watu wanaochipuka kama uyoga na kujiita wenyewe maaskofu bila ya kupitia taratibu za kanisa Takatifu Katoliki La Mitume, basi na wewe unaandika askofu
 
yaani umekosa point ya kutetea then unamshuhudia jirani yako uongo...........sijajua ni upande gani ambao umeruhusu WAZIWAZI MASHOGA kuwa VIONGOZI wa KIROHO
 
Kwani we huoni gazeti la mlokole shigongo alivyoandika? Yeye amenukuu tu
 
Jamaani tujihadhari sana na hawa wanaojiita viongozi wa dini, ninachosikitika ni kwa watu kuwa wepesi sana wa kuwaamini. Ingekuwa imeandikwa "askofu" huyu anatuhumiwa kwa kuuza madawa ya kulevya wengi wangetoka povu humu kwa kumtetea......tujiangalie pale tulipo simama tusije tukaanguka....
 
Si rahisi mhuni kutoka Nigeria akaja akaanzisha msikiti contrary to Wachungaji ambao wanakuja wanapata wafuasi kirahisi kitu ambacho waislamu hawawezi kukubali.
Hii kweli kabisa,waislam wakikugundua huendani na maamrisho ya Allah wanakutoa baro hapo hapo hakuna kusema eti fuata maneno sii matendo yangu
 
Huyo polisi kwenye ngazi!!!

Nishasema hakuna mNigeria mwema. Hawa watu wote waongo, wezi, ujanja ujanja mwingi. Askofu gani anafanana na hivyo!!

Uhamiaji waache kutoa visa kwa wanigeria hawana jema hawa watu. Hakuna cha maana wanachofanya Tz zaidi ya kuuza unga tu.

Huyo polisi nomaaaa
 
Sasa na wewe kwa akili yako fupi kama kobe unaweza kumwita huyo mhuni Askofu ?.Maaskofu wapo Roman Catholic,KKKT,Anglican,Africa Inland Church na makanisa yanayofanana na hayo haya makanisa yanayozuka kama uyoga hakuna Askofu wala Nabii au Mtume ni wahuni watupu hawana lolote utakuta makanisa yao yamesajiliwa kwa majina yao siku akifa Mama anaondoka na mali zote waumini wanaachwa mbuzi kitu kama hiki huwezi kukiona KKKT au Catholic .

Huko Roma, Maaskofu wanakula 'viboga' vya kondoo wao. Juzi kati papa aliwaita Maaskofu waujadili ushoga. Bahati mbaya kura hazikutosha !
 
Mbona hatusikii Sheikh kanaswa na unga?kila kukicha askofu nabii mchungaji

ktk biashara ya unga,utajiri nk,hawa ni zaidi ya mashehe 10 maarufu wa tz; Ali Khatibu Haji shikuba na Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’.
 
Tatizo hiki cheo cha Askofu kadri siku zinavyosonga mbele kinazidi kupoteza hadhi yake kwa jamii , kila mtu Askofu.... khaaa mnakera, ona sasa hadi mateja /mazungu ya unga nao wanajiita maaskofu, jamani Muogopeni MUNGU ndugu. Hata kwenye dansi kuna maaskofu , hatari sana.

Hakika siku za mwisho zita ambatana na matukio mengi ya kutisha na kuogofya kama maaskofu kuuza na kutumia madawa ya kulevya kama huyu .

Askofu alikuwa Dr. T. O Laizer (RIP) Bwana!
 
Hizi dini ni matatizo tu ni kama kiini macho tu ni bora usiwe na imani ya hizi dini
 
Back
Top Bottom