Askofu akerwa aina ya upigaji kura wa sasa

Askofu akerwa aina ya upigaji kura wa sasa

Viongozi wa kidini hapa bongo ni wanafiki waliopitiliza...

Leo wanaongea hivi, kesho Sizonje akiwatembelea wanamwambia yeye ni chaguo la Mungu...
we muhenga umenifanya nicheke lakini pia hii inatokana na tabia za huyu baba usipomsifia kama sio ya kina roma yatakukuta ya lissu
 
Yaani Askofu kuikingia Chadema kifua tayari atauona Ufalme wa mbinguni ? labda ataupata kutoka kwa Mbowe na john mrema
 
Maaskofu ambao siyo self declared ni RC, KKKT, Anglicana, Moravian. The rest ni akina Gwajima hawana impact kwenye siasa za dunia. Wana impact kisiasa tu za maeneo waliyopo.

Well spoken mkuu... Hii statement ingekua imetolewa na KKKT,RC au Anglicana ingekua na uzito sana kwenye jamii,ndo maana kipindi cha JK Hawa Baraza la maaskofu RC walikua wakitoa tamko,linaleta impact kweli,nakumbuka kwenye suala la kupiga kura ya katiba mpya,Pengo alileta kasheshe kweli kwenye serikali ya Jk,lakini awamu hii wapo kimya kweli,sijui wanaogopa roho zao kuwa rehani
 
Kwa haya yanayofanywa na ccm huwa napata hisia kuwa wale watu wa kibiti walikua wapigania democrasia ila hatukujua tu
 
Back
Top Bottom