hakuna tofauti yoyote ila udsm na mu ndo wana walimu wa kutosha
Mimi nimemaliza degree ya sheria Mzumbe hvyo atoa maelezo yangu kwa mifano ya Mzumbe University na UDSM. Wale wa miaka mitatu wanatumia SEMESTER SYSTEM kama Mzumbe na Wale wa miaka minne wanatumia ANNUAL SYSTEM. Katika ANNUAL SYSTEM mwanafunzi huchukua masomo tisa ambayo anafanyia mtihani mwsho wa mwaka. Wakati SEMESTER SYSTEM mwanafunz huchukua masomo 6 na hufanyia mtihani kila mwsho wa semester. Hvyo kwa mwanafunz wa miaka minne anahtaj miaka 4 ili kumaliza course 36(9 x 4) wakati wa miaka mitatu atafanya course 36 kwa miaka mitatu (6x2x3)ambayo ni kozi 36. NADHANI UMENIELEWA