asking for help | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

asking for help

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndupa, Jul 1, 2012.

 1. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  naombeni msaada wenu jana saa 4 usiku kabla sijalala kwenye akaunti yangu ya tcu kulikuwa na cheking in progress 5 na eligible 3 lkn leo asubuhi zote zimekuwa not eligible ambazo ni 8 nisaidien nifanyaje?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Una dv ngapi?
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nakushauri usifanye mabadiliko yoyote,kama zilishakuwa eligible zitakuwa tena,ukijaribu kubadili ndo utaaribu kabisa. Fanya mpango wa kuwasiliana na TCU.
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ni tatzo la perfomance,ingekuwa hivyo hata hizo 3 zisingekubali hiyo awali.
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani hata mdogo wangu kachanganyikiwa kwani yaliyomkuta ni kama yako.Ili bidi afute zote apply upya ndo check in ptogress mpaka sasa
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tafuta No zao uwapigie simu kabla ya trh 03/07
   
Loading...