Kuna vitu hatutavielewa kwa urahisi,tuwaachie serikali. Hivi,unatarajia kulundika askari 2000 pale necta wakikata rufaa ya vyeti ni vyema! Tofautisha na ilivyo kwa waalimu na nurses.Usijifanye huelewi.
Unataka wakifukuzwa uchukue nafasi zao?Kumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote wanatoka mkoa mmoja, au wilaya moja hawa askari kila mtu anakwao tukumbuke ile dhana ya watawanye kisha watawale ndio sawa na hii kwa askari endapo wakitimuliwa kwa kutumia vyeti feki hawa kila mtu ataenda kwao hivyo ni ngumu sana kushawishika akaanza uharifu
Mfano kituo au kambi moja wakapatikana askari ishirini hawa lazima kila mtu akitimuliwa atarudi kwao mfano mmoja arudi kwao nkasi rukwa uko mwingine aende lindi uko unafikilia nini hapo kuna munganiko tena
Kitu kingine mtaani kuna askari wengi ni wastafu na wamepigika ila hii hali ya kufanya kila anayestaafu anarudi kwao imewatawanya hivyo basi hata ile dhana ya kuanzisha genge la kihuni haipo maana wanesambaa wamepoteana kabisa
Hivyo basi suala kufukuza kazi askari wenye vyeti feki linawezekana kabisa
Unamaanisha nn, unauliza swali au unatoa taarifa?Wameshaanza kukaguliwa jaman haya mambo hakuna atakaepona
Toa cheti original acha manenoumeandika ujinga gani
wanagroup lao la police force ni rahisi kukutanaKumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote wanatoka mkoa mmoja, au wilaya moja hawa askari kila mtu anakwao tukumbuke ile dhana ya watawanye kisha watawale ndio sawa na hii kwa askari endapo wakitimuliwa kwa kutumia vyeti feki hawa kila mtu ataenda kwao hivyo ni ngumu sana kushawishika akaanza uharifu
Mfano kituo au kambi moja wakapatikana askari ishirini hawa lazima kila mtu akitimuliwa atarudi kwao mfano mmoja arudi kwao nkasi rukwa uko mwingine aende lindi uko unafikilia nini hapo kuna munganiko tena
Kitu kingine mtaani kuna askari wengi ni wastafu na wamepigika ila hii hali ya kufanya kila anayestaafu anarudi kwao imewatawanya hivyo basi hata ile dhana ya kuanzisha genge la kihuni haipo maana wanesambaa wamepoteana kabisa
Hivyo basi suala kufukuza kazi askari wenye vyeti feki linawezekana kabisa
Cheti fakeHuu uandishi wa aina hii! Kuandika habari na kuirusha bila ya ku re-edit ni matusi ya nguoni.
Walimu na nurses sio watu?? Polisi ndio watuuKuna vitu hatutavielewa kwa urahisi,tuwaachie serikali. Hivi,unatarajia kulundika askari 2000 pale necta wakikata rufaa ya vyeti ni vyema! Tofautisha na ilivyo kwa waalimu na nurses.
He he! ukatupe watu wanaojua kutumia siraha na mbinu za mapambano! hlf haohao wewe unapokuwa umelala usiku wenyewe wanaangaika na vibaka,majambazi,wezi na mitandao ya kiharifu,wauza ngada n.k hii tayari ni connection moja kubwa kwao!! sasa mbaya zaidi hebu chukulia unafukuza makomando hata 20! vyeti feki wakuu wa jeshini hata 50..!! unategemea nini..?!