Kweli mkuu tena serikal iwe makini na hawa waliopo mtaani sio wastaafu tuu hata j.k.t huko mitaani wamejaa na hawana kazi huwezi jua malengo yao maana kila mtu na moyo wake kwa mfano chukulia wale waliokuwa wanaandamana pale jangwani kuomba ajira saa hibi wako wapiUnadhani Majambazi ni Simba kwa hiyo wanawinda kwa ukoo mmoja? Askari mmoja tu anaweza fundisha bunduki watu elfu na ikawa hatari sana.
Kumbuka yule wa Magereza aliyeongoza kuvamia Sitakishari alivyowadungua
Hicho ndo kinachosumbua nigeria na burundiHe he! ukatupe watu wanaojua kutumia siraha na mbinu za mapambano! hlf haohao wewe unapokuwa umelala usiku wenyewe wanaangaika na vibaka,majambazi,wezi na mitandao ya kiharifu,wauza ngada n.k hii tayari ni connection moja kubwa kwao!! sasa mbaya zaidi hebu chukulia unafukuza makomando hata 20! vyeti feki wakuu wa jeshini hata 50..!! unategemea nini..?!
RIP KISWAHILI! KWA UANDISHI HUU!!mtochoro! achen kutetea ujinga jaman, kwan askar yeye ni nan mpaka aachwe aendelee kutumia chet feki? tusitengeneze matabaka eti kwa sababu tu ya nidham ya uoga, kama sekta nyingine wametumbuliwa bas hata na hao maaskar wawajibishwe tu,,,,,,, izo mnazoleta nyie ni nidham za uoga. waache kuogopa wenye vyao mnaogopa nyie ambao hata kumiliki baiskel shida
Una uhakika hawajahakikiwa?Wahakikiwe.
unafahamu juu ya neno "solidarity"?Kumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote wanatoka mkoa mmoja, au wilaya moja hawa askari kila mtu anakwao tukumbuke ile dhana ya watawanye kisha watawale ndio sawa na hii kwa askari endapo wakitimuliwa kwa kutumia vyeti feki hawa kila mtu ataenda kwao hivyo ni ngumu sana kushawishika akaanza uharifu
Mfano kituo au kambi moja wakapatikana askari ishirini hawa lazima kila mtu akitimuliwa atarudi kwao mfano mmoja arudi kwao nkasi rukwa uko mwingine aende lindi uko unafikilia nini hapo kuna munganiko tena
Kitu kingine mtaani kuna askari wengi ni wastafu na wamepigika ila hii hali ya kufanya kila anayestaafu anarudi kwao imewatawanya hivyo basi hata ile dhana ya kuanzisha genge la kihuni haipo maana wanesambaa wamepoteana kabisa
Hivyo basi suala kufukuza kazi askari wenye vyeti feki linawezekana kabisa
Umepaniki brother...relax.Hakuna Askari mwenye cheti feki aliyebainika mpaka sasa...... Ni majungu yenu tyuu....
Hawajahakikiwa ndio mana lakini wakihakikiwa seventy percent wanatumia vyet fakeHakuna Askari mwenye cheti feki aliyebainika mpaka sasa...... Ni majungu yenu tyuu....
Mwalimu atafundisha private, Daktari ataenda private, Muhasibu nk sasa Askari kujiajiri kwake ni kutumia silahamtochoro! achen kutetea ujinga jaman, kwan askar yeye ni nan mpaka aachwe aendelee kutumia chet feki? tusitengeneze matabaka eti kwa sababu tu ya nidham ya uoga, kama sekta nyingine wametumbuliwa bas hata na hao maaskar wawajibishwe tu,,,,,,, izo mnazoleta nyie ni nidham za uoga. waache kuogopa wenye vyao mnaogopa nyie ambao hata kumiliki baiskel shida
Kumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote wanatoka mkoa mmoja, au wilaya moja hawa askari kila mtu anakwao tukumbuke ile dhana ya watawanye kisha watawale ndio sawa na hii kwa askari endapo wakitimuliwa kwa kutumia vyeti feki hawa kila mtu ataenda kwao hivyo ni ngumu sana kushawishika akaanza uharifu
Mfano kituo au kambi moja wakapatikana askari ishirini hawa lazima kila mtu akitimuliwa atarudi kwao mfano mmoja arudi kwao nkasi rukwa uko mwingine aende lindi uko unafikilia nini hapo kuna munganiko tena
Kitu kingine mtaani kuna askari wengi ni wastafu na wamepigika ila hii hali ya kufanya kila anayestaafu anarudi kwao imewatawanya hivyo basi hata ile dhana ya kuanzisha genge la kihuni haipo maana wanesambaa wamepoteana kabisa
Hivyo basi suala kufukuza kazi askari wenye vyeti feki linawezekana kabisa
kwa hyo ww ndio uliwahakiki?Una uhakika hawajahakikiwa?
Hapana,labda ni wewe uliwaacha ulipokuwa unahakiki kada zingine?kwa hyo ww ndio uliwahakiki?
jaribu kutumia kiswahili bila kuchanganya na kiingereza, imebidi nirudie kusoma ndio nikaelewa. ujue private ni cheo katika jeshi.Mwalimu atafundisha private, Daktari ataenda private, Muhasibu nk sasa Askari kujiajiri kwake ni kutumia silaha
Usijifanye huelewi.Una uhakika hawajahakikiwa?