REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,247
- 11,471
Kumekuwepo na hoka mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote wanatoka mkoa mmoja, Willy's moja hawa askari kola mtu anakwao tukumbuke ile dhana ta watawanye kisha watawale ndio sawa Na jawa askari endapo wakitimuliwa KWA kutumia vyeti feki jawa kila mtu ataenda kwao hichi no ngumu sana kushawishika akaanza uharifu
Mfano kituo su kambi moja wakapatikana askari ishirini hawa lazima lila mtu atarudi kwao mfano mmoja aruji kwao nkasi rukwa uko mwingine aende lindi uko unafikilia nini hapo kuna munganiko tena
Kiru kingine mtaana kuna askari engi no wastafu na wamepigika ilao hii hali ta kufanya kila anayestaafu anarudi kwao imewatawanya hivyo basi hata ils dhana ya kuanzisha genge la kihuni haipo maana wanesambaa wamepoteana kabisa
Hivyo basi suala ka kufukuza kazi askari wenye vyeti feki linawezekana kabisa
Typing error kiongozi nadhani sasa unaweza elewa kilichoandikwaR.I.P Kiswahili
Hoja yko dhaifu sana kigezo cha umbali kiliwezekna enzi za mkoloni kipindi technology na miundo mbinu zilikuwa duni sana fikiria uwezekno wa kufnyka tukio la uhalifu kwa wakt mmoja shmu tofauti kwa njia ya mawasiliano tuKumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote wanatoka mkoa mmoja, au wilaya moja hawa askari kila mtu anakwao tukumbuke ile dhana ya watawanye kisha watawale ndio sawa na hii kwa askari endapo wakitimuliwa kwa kutumia vyeti feki hawa kila mtu ataenda kwao hivyo ni ngumu sana kushawishika akaanza uharifu
Mfano kituo au kambi moja wakapatikana askari ishirini hawa lazima kila mtu akitimuliwa atarudi kwao mfano mmoja arudi kwao nkasi rukwa uko mwingine aende lindi uko unafikilia nini hapo kuna munganiko tena
Kitu kingine mtaani kuna askari wengi ni wastafu na wamepigika ila hii hali ya kufanya kila anayestaafu anarudi kwao imewatawanya hivyo basi hata ile dhana ya kuanzisha genge la kihuni haipo maana wanesambaa wamepoteana kabisa
Hivyo basi suala kufukuza kazi askari wenye vyeti feki linawezekana kabisa
Hakuna mwenye uhakika.. subir list itokeHakuna Askari mwenye cheti feki aliyebainika mpaka sasa...... Ni majungu yenu tyuu....