haya mambo mnafanyiana rawanda kwenu na ukabila wenu.
... Rawanda ndo wapi mkuu. Mi mbona sipajui
haya mambo mnafanyiana rawanda kwenu na ukabila wenu.
mbona hakuna picha ya polisi wa kike
Siwezi kuiamini habari kutoka TANZANIA DAIMA hata siku moja!
Tumeanza na mungu Tutamaliza na mungu chadema mpango wa mungu
japo mi ni member lakn sidhan kua ni mpango wa mungu kwel kakaa??
Hivi CCM, why all that trouble with CDM. Hii nchi ni ya wote ipo siku kama sio nyinyi ni watoto wenu wanaofaidi dhuluma hizi watajibu haya madhambi na dhuluma zenu.
hata mimi walishanihisi hivyo kuwa ni mserikali, kumbe nilienda kuwasikiliza tu, kunawatu wanapenda kuwasikiliza, msiwatishe maana lazima tusikilize sera za wote!
Juzi wameandika kuwa Rais JK yuko China hata hilo huliamini? Kweli wewe ni MSALANI
Aibu zote hizi za nini ? Polisi wanafanya hivi kwa ajili ya kitu gani ? Nani si mtanzania na mwenye haki na uongozi wa Nchi ?