Askari wawili wakamatwa katika mikutano ya CHADEMA

Kama ni kweli ina maana askari hawatakiwi mikutano ya CHADEMA? Askari wako wa aina mbili kuna wale wenye uniform na wasio na uniform wa polisi na usalama wa taifa.Ambao waweza tumia mbinu zozote kuhakikisha usalama upo iwe kwa kujificha kama wanachama n.k

Hivi CHADEMA hakihitaji wanausalama? Wanapoomba kibali cha kufanya mikutano maana yake si pia wanaomba ulinzi toka polisi wa wenye uniform na wasio na uniform.

Hao watu lkama walikuwa wanarekodi na kuwasiliana na mkubwa wao walikuwa wako kazini.Tatizo liko wapi?
CHADEMA mmelidhalilisha Jeshi la polisi.Na kama ni kweli mmetoa na kuvujisha siri za Jeshi na hamfai kushika nchi.Matarajio yangu kwa viongozi wakisiasa waliokomaa iliwapasa wajue kuwa mkutano wao uko salama kwa kuwepo walinzi kama hao.Na hao hawako tu kwa ajili ya CHADEMA bali kwa ajili ya usalama wa nchi pia.

Kama ni kweli CHADEMA wameaanika siri za hao askari.Polisi na jeshi watake maelezo toka Chadema na wawachukulie hatua wote waliowakamata,kuwapekua,na kuwadhalilisha hata baada ya kujua kuwa hao ni wanausalama waliokuwa kazini.Pia iko haja huyo Silayo ahojiwe vizuri.Kuna wachaga siwaamini sijui kwa nini hasa linapohusu mchaga fulani na siri kuvuja kuelekea CHADEMA.
 
Hii mbinu ya kuwavalisha polisi magwanda ya chadema polisi waliitumia sana kwenye uchaguzi wa Kalenga. Mimi mwenyewe nilishawahi iripoti hapa jamii forum wakati wa uchaguzi huo wa Kalenga. ni mbinu ovu kabisa, Mangu hawezi fanya chochote sanasana hao askari watahamishwa Geita na kupelekwa kwingine kwani hawatakuwa salama. Walicho rekodi chote kinyonywe na format hiyo device yao na kupoteza kila kitu....
 
Kama ni kweli ina maana askari hawatakiwi mikutano ya CHADEMA? Askari wako wa aina mbili kuna wale wenye uniform na wasio na uniform wa polisi na usalama wa taifa.Ambao waweza tumia mbinu zozote kuhakikisha usalama upo iwe kwa kujificha kama wanachama n.k

Hivi CHADEMA hakihitaji wanausalama? Wanapoomba kibali cha kufanya mikutano maana yake si pia wanaomba ulinzi toka polisi wa wenye uniform na wasio na uniform.

KAKA WEWE UKO KINADHARIA KABISA KWANI HAKUNA MBINU NYINGINE ZA KULINDA MIKUTANO MPAKA MTU MNAMPATIA KADI, UNIFORM ETC ZA CHADEMA. KULE KALENGA POLISI KUTOKA CHUO CHA MAFUNZO CCP NA MAKAO MAKUU WALITUMWA KWENDA KWENYE KAMPENI ZA CHADEMA WAKIWA NA GWANDA ZA CHADEMA. WALE NDO WALIOKUWA WANAFANYA FUJO, KUPIGA WATU NA MAGAZETI YANA-RIPOTI SIKU INAYOFUATA CHADEMA WAFANYA FUJO. KWA KUWA HAO VIJANA NI WAKWAO BASI HAKUNA ALIYEKAMATWA WALA KUFIKISHWA MAHAKAMANI. NIA YAO ILIKUWA OVU YAANI KUIFANYA CHADEMA NI CHAMA CHA FUJO. HAPO WALIKUWA WANAFANYA KWA NIABA YA CCM. IFIKE MAHALI CCM WAHESHIMU TAALUMA YA UPOLISI SIO KAMA WANAVYO FANYA HIVI SASA. NINA FAHAMU MENGI KWA LEO NAACHIA HAPO
 
ivi hawa police wanazan ukombozi ni kwa raia tu? wanatakiwa wabadilike wazni wanafurahiwa no
 
Msitufanye wapumbavu!
Kama ni kweli ikithibitika katumwa na serikali sawa hapo kuna makosa makubwa, kwani mnataka kuniambia askari wote wanaipenda ccm tu? Wapo kibao tu ambao hawaipendi sasa kama ni dili la kisiasa anaambiwa na wakuu wa chadema yeye akavae nguo za chadema ili wamkamate ili jeshi lichafuliwe kwani kipi kinashindikana kwenye siasa.
 
Kwanini mob justice haikufanya kazi yake ili liwe fundisho kwa wengine?!
 
Msitufanye wapumbavu!
Kama ni kweli ikithibitika katumwa na serikali sawa hapo kuna makosa makubwa, kwani mnataka kuniambia askari wote wanaipenda ccm tu? Wapo kibao tu ambao hawaipendi sasa kama ni dili la kisiasa anaambiwa na wakuu wa chadema yeye akavae nguo za chadema ili wamkamate ili jeshi lichafuliwe kwani kipi kinashindikana kwenye siasa.

Hata kama kweli jeshi linachafukaje sasa???!!!
Hujui kama kuna kitengo cha upelelezi???!!

Mbona kawaida sana tu ila ndio hivo tena tukio linakuzwa!!!!
 
Hii mbinu ya kuwavalisha polisi magwanda ya chadema polisi waliitumia sana kwenye uchaguzi wa Kalenga. Mimi mwenyewe nilishawahi iripoti hapa jamii forum wakati wa uchaguzi huo wa Kalenga. ni mbinu ovu kabisa, Mangu hawezi fanya chochote sanasana hao askari watahamishwa Geita na kupelekwa kwingine kwani hawatakuwa salama. Walicho rekodi chote kinyonywe na format hiyo device yao na kupoteza kila kitu....

Kwani kuna siri gani hata hivyo mkutano haukuwa wa hadhara???!!!
Acheni kushangaa "routines".
 
acha wewe hiyo si kweli kamwe hizo ni mbinu za ccm kwa ni mara ya kwanza police kusababisha fujo kwenye mikutano ya cdm? mbona hatujaskia ccm yanatokea au nawe walewale?
 
Ni mpaka kuwe na ushahidi pasi na shaka kuwa wanafanya fujo mikutanoni! !!!
 
Msitufanye wapumbavu!
Kama ni kweli ikithibitika katumwa na serikali sawa hapo kuna makosa makubwa, kwani mnataka kuniambia askari wote wanaipenda ccm tu? Wapo kibao tu ambao hawaipendi sasa kama ni dili la kisiasa anaambiwa na wakuu wa chadema yeye akavae nguo za chadema ili wamkamate ili jeshi lichafuliwe kwani kipi kinashindikana kwenye siasa.
Acha kufikiri kama mtoto mdogo, askari apaswi kuwa mwanachma wa chama chochote cha siasa, Na anakwenda kufanya nini kwenye mkutano wa chama cha siasa akiwa ameficha radiocall? Kama yuko zamu hata kama hajavaa sare ya jeshi anatakiwa aonekane wazi, na ijulikane kuwa yupo na siyo kwa kificho.
 
Aliokwambia kazi za askari zote hufanyika wazi wazi ni nani???!!!
 
Acha kufikiri kama mtoto mdogo, askari apaswi kuwa mwanachma wa chama chochote cha siasa, Na anakwenda kufanya nini kwenye mkutano wa chama cha siasa akiwa ameficha radiocall? Kama yuko zamu hata kama hajavaa sare ya jeshi anatakiwa aonekane wazi, na ijulikane kuwa yupo na siyo kwa kificho.

Wewe kariri tu shauri yako.Akiwa kazini anaweza kuwa mwanachama.Mbona wako kibao tu hata CHADEMA.Usalama wa nchi ni pamoja na usalama wa vyama.
 
Back
Top Bottom