Askari wawili wakamatwa katika mikutano ya CHADEMA

Kama ni kweli ina maana askari hawatakiwi mikutano ya CHADEMA? Askari wako wa aina mbili kuna wale wenye uniform na wasio na uniform wa polisi na usalama wa taifa.Ambao waweza tumia mbinu zozote kuhakikisha usalama upo iwe kwa kujificha kama wanachama n.k

Hivi CHADEMA hakihitaji wanausalama? Wanapoomba kibali cha kufanya mikutano maana yake si pia wanaomba ulinzi toka polisi wa wenye uniform na wasio na uniform.

Hao watu lkama walikuwa wanarekodi na kuwasiliana na mkubwa wao walikuwa wako kazini.Tatizo liko wapi?
CHADEMA mmelidhalilisha Jeshi la polisi.Na kama ni kweli mmetoa na kuvujisha siri za Jeshi na hamfai kushika nchi.Matarajio yangu kwa viongozi wakisiasa waliokomaa iliwapasa wajue kuwa mkutano wao uko salama kwa kuwepo walinzi kama hao.Na hao hawako tu kwa ajili ya CHADEMA bali kwa ajili ya usalama wa nchi pia.

Kama ni kweli CHADEMA wameaanika siri za hao askari.Polisi na jeshi watake maelezo toka Chadema na wawachukulie hatua wote waliowakamata,kuwapekua,na kuwadhalilisha hata baada ya kujua kuwa hao ni wanausalama waliokuwa kazini.Pia iko haja huyo Silayo ahojiwe vizuri.Kuna wachaga siwaamini sijui kwa nini hasa linapohusu mchaga fulani na siri kuvuja kuelekea CHADEMA.
 
Hao intelijensia kwanini wakamatwe kama kweli wamesomea kazi hiyo? kuna uzembe wamefanya mahali fulani lakini kubwa zaidi ni ushabiki wa kisiasa kutoka kwa mabosi wao. Hao askari wafukuzwe kazi. Hatuwezi kuendelea na intelijensia ya namna hii... yaani mpaka raia wanawagundua..aibuuu...aibuuuu!!

Kama ni kweli ina maana askari hawatakiwi mikutano ya CHADEMA? Askari wako wa aina mbili kuna wale wenye uniform na wasio na uniform wa polisi na usalama wa taifa.Ambao waweza tumia mbinu zozote kuhakikisha usalama upo iwe kwa kujificha kama wanachama n.k

Hivi CHADEMA hakihitaji wanausalama? Wanapoomba kibali cha kufanya mikutano maana yake si pia wanaomba ulinzi toka polisi wa wenye uniform na wasio na uniform.

Hao watu lkama walikuwa wanarekodi na kuwasiliana na mkubwa wao walikuwa wako kazini.Tatizo liko wapi?
CHADEMA mmelidhalilisha Jeshi la polisi.Na kama ni kweli mmetoa na kuvujisha siri za Jeshi na hamfai kushika nchi.Matarajio yangu kwa viongozi wakisiasa waliokomaa iliwapasa wajue kuwa mkutano wao uko salama kwa kuwepo walinzi kama hao.Na hao hawako tu kwa ajili ya CHADEMA bali kwa ajili ya usalama wa nchi pia.

Kama ni kweli CHADEMA wameaanika siri za hao askari.Polisi na jeshi watake maelezo toka Chadema na wawachukulie hatua wote waliowakamata,kuwapekua,na kuwadhalilisha hata baada ya kujua kuwa hao ni wanausalama waliokuwa kazini.Pia iko haja huyo Silayo ahojiwe vizuri.Kuna wachaga siwaamini sijui kwa nini hasa linapohusu mchaga fulani na siri kuvuja kuelekea CHADEMA.

Hata hivyo mimi naona Chadema walikosea sana.Walitakiwa kuwachinja hadharani kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili, na kuweka video kwenye mtandao ili liwe fundisho kwa polisi kutumika kisiasa. Kituoni walitakiwa wapeleke vichwa ili Mangu ajifunze kutotumika kisiasa. Ukombozi unahitaji kujitoa na kuthubutu kama Islamic state walivyowafanyia waandishi wa habari wa Magharibi. Mimi nawashauri wakiwamata tena,wawafunge vilemba vyeusi na kuwachinja kwa kutenganisha kiwiliwili na kichwa.
 
Kwa hiyo walitaka kulipua mkutano wa CHADEMA ili ionekane kuwa CHADEMA wamejilipua wenyewe kama walivyosema akina Nape baada ya kutokea tukio la Arusha.
 
Kama ni kweli ina maana askari hawatakiwi mikutano ya CHADEMA? Askari wako wa aina mbili kuna wale wenye uniform na wasio na uniform wa polisi na usalama wa taifa.Ambao waweza tumia mbinu zozote kuhakikisha usalama upo iwe kwa kujificha kama wanachama n.k

Hivi CHADEMA hakihitaji wanausalama? Wanapoomba kibali cha kufanya mikutano maana yake si pia wanaomba ulinzi toka polisi wa wenye uniform na wasio na uniform.

Hao watu lkama walikuwa wanarekodi na kuwasiliana na mkubwa wao walikuwa wako kazini.Tatizo liko wapi?
CHADEMA mmelidhalilisha Jeshi la polisi.Na kama ni kweli mmetoa na kuvujisha siri za Jeshi na hamfai kushika nchi.Matarajio yangu kwa viongozi wakisiasa waliokomaa iliwapasa wajue kuwa mkutano wao uko salama kwa kuwepo walinzi kama hao.Na hao hawako tu kwa ajili ya CHADEMA bali kwa ajili ya usalama wa nchi pia.

Kama ni kweli CHADEMA wameaanika siri za hao askari.Polisi na jeshi watake maelezo toka Chadema na wawachukulie hatua wote waliowakamata,kuwapekua,na kuwadhalilisha hata baada ya kujua kuwa hao ni wanausalama waliokuwa kazini.Pia iko haja huyo Silayo ahojiwe vizuri.Kuna wachaga siwaamini sijui kwa nini hasa linapohusu mchaga fulani na siri kuvuja kuelekea CHADEMA.

Kwa ujumla askari hawatakiwi kuwa wanachama wa chama chochote cha kisiasa iwe CHADEMA,CCM au chama kingine cha kisiasa.CCM waliwahi kumubaini askari polisi mmoja akiwa ameomba kugombea nafasi moja wapo ndani ya chama hicho na walipomubaini walikwenda moja kwa moja kumchomekea askari huyo kwa viongozi wake ambao walimchukulia hatua za kinidham.Kama siyo kweli kwamba askari hao hawakuwa na nia ovu jeshi la poli wanatakiwa wawachukulie hatua za kinidham kama walivyofanya kwa askari aliyekuwa ana gombea uongozi ndani ya CCM.Vinginevyo wana CHADEMA wataamini kuwa askari hao walikuwa na mpango wakufanya madhara kwenye mkutano wa CHADEMA ndiyo maana wakavaa sare za CHADEMA wakachukuwa na vinasa sauti ambavyo vinauwezo wa kupiga picha ili wakipiga picha wazipeleke CCM ambao wangeweza kuwalaghai wanachi kuwa CHADEMA wanajidhuru wenyewe.Ulaghai ambao ungeaminiwa na watu wengi na ingekuwa vigumu kusawazisha ulaghai huo kwa vile wahusika wa kitendo cha uharifu walikuwa tayari wamevaa sare za CHADEMA na wangeonekana kuwa ni wanachama halali kutokana na card walizokuwa nazo.Suala la ulinzi CHADEMA wanahitaji sana ulinzi wa polisi na vyombo vingine vya usalama lkama vyama vingine lakini vyombo vya usalama vinapotekeleza majukumu ya ulinzi wahusika wanatakiwa wavae sare zao za kazi na wale ambao hawatakiwi kuvaa sare wanapotekeleza majukumu yao wanatakiwa wavae mavazi ya kiraia na siyo sare ya chama chochote.
 
Chanjo ya Mabusha unaiamini? Wenzako wameweka picha na vielelezo vyote muhimu, hadi kiongozi wao wanaomba warudishiwe vinasa sauti lakini bado ujamba humu jamvini?...kazi kweli kweli ...
Siwezi kuiamini habari kutoka TANZANIA DAIMA hata siku moja!
 
Khaa!! Nawaza hiyo serikali itakayoundwa na cdm itakavyokwenda maana hawajui hata nini ni nini. Sijui kama itafikisha siku mbili. Mungu atupitishie mbali
 
Unazuiliwa kusikiliza ukiwa askari polisi ndani ya sare zako za uppolisi hadi uvae vazi na kugushi kadi za CDM?

hata mimi walishanihisi hivyo kuwa ni mserikali, kumbe nilienda kuwasikiliza tu, kunawatu wanapenda kuwasikiliza, msiwatishe maana lazima tusikilize sera za wote!
 
Siwezi kuiamini habari kutoka TANZANIA DAIMA hata siku moja!

Ukiamini unabadilisha nini! We ni nani hadi kuamini kwako kuwe na impact kwa watanzania!! We mwamini mumeo!! Ambae ndo kila kitu kwako
 
Police anaruhusiwa kwenda katika mikutano ya siasa kama mwana ulinzi. Police haitaji kadi ya chama cha siasa au sare za chama kuhudhuria mkutano. Kitendo cha kuvaa nguo na kuwa na kadi za CDM ni uvunjaji wa sheria na ni UGAIDI
 
Kama ni kweli ina maana askari hawatakiwi mikutano ya CHADEMA? Askari wako wa aina mbili kuna wale wenye uniform na wasio na uniform wa polisi na usalama wa taifa.Ambao waweza tumia mbinu zozote kuhakikisha usalama upo iwe kwa kujificha kama wanachama n.k

Hivi CHADEMA hakihitaji wanausalama? Wanapoomba kibali cha kufanya mikutano maana yake si pia wanaomba ulinzi toka polisi wa wenye uniform na wasio na uniform.

Hao watu lkama walikuwa wanarekodi na kuwasiliana na mkubwa wao walikuwa wako kazini.Tatizo liko wapi?
CHADEMA mmelidhalilisha Jeshi la polisi.Na kama ni kweli mmetoa na kuvujisha siri za Jeshi na hamfai kushika nchi.Matarajio yangu kwa viongozi wakisiasa waliokomaa iliwapasa wajue kuwa mkutano wao uko salama kwa kuwepo walinzi kama hao.Na hao hawako tu kwa ajili ya CHADEMA bali kwa ajili ya usalama wa nchi pia.

Kama ni kweli CHADEMA wameaanika siri za hao askari.Polisi na jeshi watake maelezo toka Chadema na wawachukulie hatua wote waliowakamata,kuwapekua,na kuwadhalilisha hata baada ya kujua kuwa hao ni wanausalama waliokuwa kazini.Pia iko haja huyo Silayo ahojiwe vizuri.Kuna wachaga siwaamini sijui kwa nini hasa linapohusu mchaga fulani na siri kuvuja kuelekea CHADEMA.

Wewe mwehu!... Hakuna chama kinachoomba kibali cha kufanya mikutano, bali hutoa taarifa masaa 48 kabla.

Wewe ni chizi na mkabila aliyepindukia. Hivi ukiwabagua wachaga itakusaidia nini? Unadhani kabila lako likiguswa mtakuwa salama?
 
Nadhani unajaribu kupotosha mantiki. Kuna askari anayeruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa!?

sawa mkuu nimekupata, police hawaruhusiwi, ila mimi nienda kusikiliza mkutano wao wa vijana wakawa wananishangaa sana
 
yaani ukawa inabidi waunganishe nguvu ipasavyo ccm lazima waondoke na mtu hawatakubali kirahisi
 
hawa tumewazowea kufanya ugaidi na kisha kuwasingizia raia wema uov u wao.
Mungu mkubwa ,naomba awafedheheshe waovu hawa.
Juzi wa mumuuwa kijana yule sensei kisha wakambambikia tuhuma za kuripua bomu kule kanisani Arusha.
Huko nyuma Amrozi alitajwa kuwa ni mtuhumiwa no 1,lakini juzi wakaja na mtuhumiwa maiti,wakadai eti yeye Sensei ndie aliye husika,ukiwauliza,mbona hakufunguliwa kesi kwenye mahakam yoyote ile kabla ya kukimbia ?
Watabaki kimyaaaaaaaaaaaa
huu ndio mpango wao OVU
 
Back
Top Bottom