Askari wawili wakamatwa katika mikutano ya CHADEMA

Askari wawili wakamatwa katika mikutano ya CHADEMA

Mtahangaika sana...uzushi wingiiiiiii ufipa kweli hamnazo
 
....kweli mkuu kuwatowa wenge !!!

sio tu kuwatoa wenge mkuu bali kulipiza kisasi, mara ngapi wanapiga wananchi na kuwaua bila sababu? bado tuna hasira na tunakumbuka waliyoyafanya na kamwe hayafutika mioyoni mwa wazalendo wa hii nchi
 
Sisi tupo kwenye mkutano na tulishuhudiA wewe uko kwenye ofisi zA ugaidi ccm utaamini ???

Anayeshangaa hili ni kuwa hajui mfumo wa ulinzi na usalama wa Taifa unafanyaje kazi. Tunapoomba ulinzi kwenye mikutano ya siasa sio polisi wa magwanda tu, maana yake vyombo vyote vya ulinzi vipo kazini.

Usishanga unayefanya nae kazi, mwafunzi mwenzio ana kitambulisho lakini pia n mwana usalama.
 
Hongereni chadema kwakua makini nakuwakamata hao polisi mgewashushia mkongoto mtakatifu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Anayeshangaa hili ni kuwa hajui mfumo wa ulinzi na usalama wa Taifa unafanyaje kazi. Tunapoomba ulinzi kwenye mikutano ya siasa sio polisi wa magwanda tu, maana yake vyombo vyote vya ulinzi vipo kazini.

Usishanga unayefanya nae kazi, mwafunzi mwenzio ana kitambulisho lakini pia n mwana usalama.

.... Walitaka Kumlipulia Bomu Halima Mdee Then Waseme Chadema Ndo Wamehusika..!
 
Sijaona kitu cha maana hapa wameanza kuwakana wanachama wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom