Nyakibimbili
Senior Member
- May 4, 2019
- 185
- 286
- Thread starter
-
- #61
Wametwanga mzee na wajela jela ilikuwa kichekesho,,,mijela jela ilikuwa inapinga ka mwanga wa tochi gizani sikuamini kama yako fit kiwango kileila jw kama wamepigwa wamenidhalilisha sana.
Kwanini nidanganye mkuuTaarifa za jf nazo si za kuziamini sana bila picha ama video.askari mpaka wanakunjana basi hawajatambuana.
Taarifa ya juzi kwamba magereza na polisi wamepigana saa zima na mabomu ya machozi, nimefuatilia ni ujinga mtupu uliandikwa hapa.
Hii nayo yaweza kuwa chai tu.
Leta picha.Kwanini nidanganye mkuu
Mwanangu ungekuwepo kuna lijamaa refu hivi limemshika jwt likambana mapajani hakufurukuta,,alafu likachukua T-shirt yake ya kijani likaivua na kuitupa kwenye mtalo cjui lilikuwa lina maanisha niniKwa hiyo mkuu na karate zote wanazopiga wametolewa mawenge
Nilikuwa na simu ndogo hii hbr nimeandika nilipofika home mkuuLeta picha.
Kwamba hata picha moja ilikushinda.Mwanangu ungekuwepo kuna lijamaa refu hivi limemshika jwt likambana mapajani hakufurukuta,,alafu likachukua T-shirt yake ya kijani likaivua na kuitupa kwenye mtalo cjui lilikuwa lina maanisha nini
Kuna wabishi watakuwa nayo video au picha.Nilikuwa na simu ndogo hii hbr nimeandika nilipofika home mkuu
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!
Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.
Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani
Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
Askari ni raia namba moja.KWANI ASKARI SIYO RAIA? hii kauli ya RAIA Siipendi kama nini!
Hili laweza kuwa kweli maana Leo limekuja jamaa refu limeshiba limemshika jet ka kuku likambana mapajani alooo ilikuwa show nxrJeshi la Magereza ndilo bado linasimamia misingi ya kuajiri askari wake kwa VIGEZO VYA TANGU MKOLONI. Mwili uliojengeka, Urefu Stahiki, Utimamu wa mwili, Umri sahihi nk. Kwa mwendo huo Askari huyo akipewa mafunzo stahiki si mchezo.
Huko kwingine ajira za mjomba mjomba zimeharibu Majeshi yetu, utakuta mtu ana Kigugumizi lkn yuko Askari, Mtu Digidigi ni Askari, Matege Askari, Mwili Sikoseli utadhan anadondoka na Upepo naye Askari!
Hongera Jeshi la Magereza kwa ASKARI IMARA miiiiiili Jumba. Hawa wengine sikuhizi wanaajiri mpaka mbirikimo kwahiyo wachapeni tuu, nasema wapigwe tuuu mpaka waaajiri askari kwa Vigezo sio Ukanjanja.
Hapo unavujisha siri mkuu.Kuwa JW au Magereza haimaanishi wewe utakuwa na nguvu kuliko mwingine.Ukiwa askari na haufanyi mazoezi ya kutosha unakuwa mzembe tu Kuna jamaa yangu aliwahi kuwatandika wanajeshi watatu kama wamesimama hivi.Alianza mmoja akapigwa akapiga simu kwa wenzake nao wakachezea kichapo akawafungia kaunta bar.
Hajui kama kuna Raia anamkalisha Msoja kilaini tu, sema jamaa ni wepesi wa kuitana na kuanza kuchangia.Hao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.
Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.
Aisee jamaa lililomtia jwt mapajani Leo lilikuwa zaidi ya hili
Hicho kikosi kiko wapi makazi yake nkajipitishe cku mojaMagereza kuna kikosi hatari sana CHA Kikosi cha kupambana na ghasia magerezani (KMKGM,) wanavaa tisheti za kijani na wakivaa gwanda wanakuwa na alama ya bluu mabegani, wale ni hatari tupu.