Askari watwangana hadharani

wapigane tu tumechoka!!
 
Jwtz mnavyopewa sifa na raia basi mnajawa na ubabe,sasa tumeamua tuwaonyeshe kwa kuwatembezea kichapo ili mjue kila mtu ana weledi wa kazi yake,pia mjue kuheshimu kazi za wengine.
Endeleeni kuwapiga hao baba kanituma mkiingia miziki mingine mtatema nyongo
 
Kama wale wanaowasifia wale wavaa suit
Nawenyewe wanapenda sana kujipitisha pitisha
, si umeona siku hizi wanavaa combat mkuu, mbaya zaidi wanavaa ya jangwani
.

Unaweza usijue kucheza, lakini kama unaenda na beat hutaboa sana, kimbembe vyote kwa wakati mmoja.
 
Wale sifa nyingi na umbeya mwingi sana
 
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Usichukulie poa wazee wa kikosi maalumu wa magereza.
 
Kwenye basic military training hakuna tofauti.

Tofauti inaanza kuja kwenye kozi za baadae after ile basic military course (ukuruti)
Kurutu wa Polisi analala kwenye chandarua chenye dawa wakati kurutu Magereza JWTZ ana six wiki za bila kukutanisha kope.
 
Mkuu hayo majeshi yote tunayaona, tunachopimanisha ni utimamu wa askari wake na mafunzo wanayopata.FFU wanakula kozi wakiwa wanalala kwenye chandarua chenye dawa wakati KM na MP ni no sleep ,Tofauti inaanzia hapo .
 
Wewe QUOTE="Hussein Melkiory, post: 31534427, member: 350075"]
Endeleeni kuwapiga hao baba kanituma mkiingia miziki mingine mtatema nyongo
[/QUOTE]
Wewe umetumwa na nani? Au umaskini wa kwenu!!umekutuma ukapigwe na maisha jeshini?? Maana huko majeshini ni uzalendo tu utajiri utausikia kwenye vyombo vya hbr tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…