ASKARI WATIIFU

Chinduli Jr

Member
Nov 21, 2016
47
21
Askari wameitwa kwenye nyumba ambayo kuna ugomvi, walipofika ikabidi waripoti kwa simu yale waloyakuta.
Askari; Mkuu tumekuja hapa tumekuta mama wa nyumba amempiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza sana.
AFANDE; Kisa na mkasa gani hata akafanya hivyo
ASKARI; Mama alikua anasafisha jikoni na kupiga deki, sasa mumewe akaingia jikoni na viatu kabla sakafu haijakauka
AFANDE; Mushamkamata huyo mama???
ASKARI; Hapana bado mkuu
AFANDE; Mnangoja nini sasa?
ASKARI; Tunangoja sakafu ikauke afande.
 
Back
Top Bottom