Askari wangu hasimami kama mwanzo

mkuu hujaona mtu ni mnene lakini ana kilo chache, na mwingine sio mnene sana lakini ana kilo nyingi, me sio kwamba mnene sana ila mrefu na uzito nimepima siku tano zimepita nilikua na kg 104
Weka picha kwa ushahidi hapa.
Wee ni Kabufu,
 
Ubaya wa hii kitu kadri unavyowaza kuwa huwezi kusimamisha vizuri ndipo saikolojia inavyofanya iwe kweli. Acha kuwaza kuhusu hizo mambo.

Punguza uzito kiasi, fanya mishe zako, kaa hata mwezi mzima bila kuhangaika na sex.

Baada ya hapo kazi kwako..
 
Tafuta mume uolewe acha kutusumbua
Mkuu mbona me nakuheshimu sana ukizingatia ww ni senior, kiumri inawezekana ukawa ni faza kwangu.

kwann unafanya vitu ambavyo haviendani na ww ulivyo, kuna wale watu ambao huwa nawaona hapa JF kuna picha flani nakuwa nimeitengeneza jinsi walivyo kuanzia muonekano hadi haiba zao nakiri wazi umenidissappoint sana kwenye hili imekua tofauti na ninavyokuona kupitia reactions zako kwenye threads tofauti.

Hivi ni kweli kijana wako unaweza kumpa ushauri hasi kama ulivofanya?

Au, kuelezea changamoto ninayopitia nimekukosea mkuu?

Umenikosea sana mzee wangu,
 
ni sahihi najitahidi kupunguza lakini kubadili mfumo wa maisha kuanzia ulaji, kufanya mazoezi na muda wa kupumzika ili niwe sawa..nakiri wazi kuna namna mifumo yangu imekuwa tofauti na mwanzo huenda ni sababu ya hii changamoto.
Kabla ya hapo nini kilifanyika
 
Kabla ya hapo nini kilifanyika
nafikiri ni namna ya ulaji nimekua na ulaji wa hovyo, vyakula vya mafuta, soda lakini pia nimekua sifanyi mazoezi mara kwa mara tofauti na mwanzo nilikua nazingatia sana.
 
Anza kupunguza uzito kwanza halafu uje tukupe ushauri nini cha kufanya...
 
ni sahihi najitahidi kupunguza lakini kubadili mfumo wa maisha kuanzia ulaji, kufanya mazoezi na muda wa kupumzika ili niwe sawa..nakiri wazi kuna namna mifumo yangu imekuwa tofauti na mwanzo huenda ni sababu ya hii changamot
 
nafikiri ni namna ya ulaji nimekua na ulaji wa hovyo, vyakula vya mafuta, soda lakini pia nimekua sifanyi mazoezi mara kwa mara tofauti na mwanzo nilikua nazingatia sana.
Punguza vyakula vya sukari
 
Epuka
1. Punyeto
2. Stress
3.Dawa za kuongeza nguvu za kiume vya kwenye maduka heri mitishamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…