Bmw m5
Senior Member
- Oct 20, 2024
- 123
- 184
Salaam ndugu zangu wana JF.
Kwa siku mbili sasa nimekua napitia changamoto ya kusimamisha mnara..Nipo kwenye mahusiano na binti kutoka mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini.
Jumanne jioni kulitokea kutokuelewana kati yetu sisi, ikapelekea kusiwe na mawasiliano mazuri.
Baada ya kutokea mgogoro huo mdogo, kuna pisi nyingine nikawa na miadi ya kukutana nayo sasa kitu cha ajabu ni kwamba nilishindwa kusimamisha pindi nilipokua na huyu bibie mwingine, ambaye sio mara ya kwanza kushiriki naye sex.
Haikuishia hapo, mimi nina kawaida ya kusimamisha mara kwa mara, haijalishi nimekaa, natembea au nimelala huwa nasimamisha...sasa kwa hizi siku mbili hali imekua tofauti sana.
Muda mwingi mjeshi anakua hasimami ipasavyo, na ikitokea amesimama ni kwa unyonge tofauti na kawaida.
Kuna muda nafikiria huenda huyu bibie ambae nimepishana nae kuna namna amefanya, au inatokea tuu, binafsi hii hali haijawahi kunitokea kabla.
Au pengine ni uzito unachangia kuwa hivi, Nina 26 yrs, 104 kg na urefu ni fut 6.
Nafanya mazoezi mara moja kwa wiki(weekend).
Ila kegel na mazoezi madogo kama push-up nafanya karibu kila siku.
Ndugu zangu, brothers na wazee wangu naombeni msaada wenu kuhusiana na hii changamoto ninayopitia nimekua na stress sana... shukrani.
Karibuni sana wanajamii