kigera webasu
Member
- Oct 9, 2015
- 34
- 5
Peoplez power,uwezi kutumia virungu ,Hao watu ni hatari sana
Hoja nikutetea wagonjwa akasahau alikuwa anahatarishiwa Uhai wake kwa kipigo cha wana CDM.
Kweli Mabomu yalistua wagonjwa nk...
Lakini ilikuwa nilazima iwe hivo ili kuokoa uhai wa Mtu.
Sasa ntashangaa sana km kuna mtu atasema Askari wasingefanya vile wangefanya kimnya ili Mtu auwawe kisha tena Lawama Zije kwa Askari kuwa Askari wa Tz niwazembe sana.
Askari akufa mbele yao.
Mkuu gar 100 pale eneo la kuhifadhi maiti bmc zina weza kutosha kweli?
Naona Wapumbavu na Malofa wanatamani Nchi hii iongozwe pasipokuwa na Jeshi la Ulinzi la Aina Yoyote!
Wanatamani nchi iongozwe Kihuni na Wahuni kama kina Lema kwakitoa matamko na kauli za Kihuni nk....
Wanatamani kuona Nchi inaongozwa pasipokuwa na Kanuni, Sheria, Taratibu na Miongozo mbali mbali ili tuweze kuishi kwa Mfumo na Formula safi ya Maisha Bora.
Lakini najiuliza sana kuwa Itakuwaje Siku Hawa CDM wakishika Dola waongoza bila Askari?
Emu Viongozi wa CDM/UKAWA Tumieni hekima na busara kwa kuzifuata mamlaka nakuziheshimu ili nchi yetu iendelee kuwa nchi yenye kuigwa kimataifa, lakini tu sio kuigwa iendelee kuwa nchi ya amani na Itulivu.
Haya ya mauwaji hutokea kwa sababu za hamasa mbovu kama hizi ambazo mnataka kuzishabikia hapa.
Askari ndiyo walikuwa na makosa watu wamekuja kuhifadhi maiti, sasa kosa la askari ni kuwaambia wafuasi wa Chadema waondoke ili wao polisi waendelee na uchunguzi, kama walijua hiyo maiti inatakiwa kuchunguzwa kwa nini hawakwenda Kule kijijini kwenda kumchunguza, labda watasema kule hakuna vifaa sawa walishindwa nini wasisubiri siku ile wafuasi wa ukawa wamalize wao waje kesho yake waendelee na mambo Yao?
Haujui nn unachokiongea,ina maana hyo mwanachadema alouliwa co chochote kwako, kama kweli unapenda amani kwa nn hukulaani kitendo hicho cha green guard ,ww ni mpofu na haufai katika dunia hii
Askali??
Kipaumbele cha kwanza elimu,cha pili elimu na cha tatu elimu
Kiongoz imejitaidi kuongea vzur ila wachache wenye upeo watakuelewa ,,nmekuelewa