Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

Mtoa hoja kalale ukiamka vaa nguo uelekee shule ukasome,maana unaweza kutuamshia hasira na machungu tuliyonayo ya kumpoteza kamanda mwenzetu Mawazo
 
nilikuepo eneo la tukio unachokisema ni sahh kabisa,,askari wa watu walimpiga kisa kaingia mochwari kwa madai yy n nan mpk aingie umo,,,soo sad aisee
 
Hapo ndio unafiki mkubwa wetu sisi weusi kulia inapolipuliwa Paris na kuona kawaida kwa waliokufa garisa nimeeleweka over
 
Kiongoz imejitaidi kuongea vzur ila wachache wenye upeo watakuelewa ,,nmekuelewa
 
Hosipitali ya Bungando sehemu kubwa ya madakitari ni chadema. Walikuwa kila siku wanaomba Dr Magufuli na CCM ashindwe, hivyo mi sishangai.

Na kuna watu nawajua pale ilibidi mpaka niwaondoe kwenye friend list zangu facebook maana sijui walilishwa nini yaania wao waliamini chadema kuliko CCM wakati chadema chama cha wahuni
 
Kwa maoni yangu naona heri wanagetembeza mkono kuliko kuleta vishindo vya mabomu maeneo ambayo yanatakiwa kuwa tulivu kwa kuwa kuna wagonjwa wa aina mbalimbali za magonjwa wanatibiwa. Naunga mkono kuwadhibiti wafuasi wa CHADEMA lakini nalaani matumizi ya milipuko maeneo ya Hospitali. Lazima kuwepo na tofauti kati ya walinzi wa mali na uhai wa raia na wale wahalifu.

Eti maeneo tulivu ya Bugando!! kwa nini mlitaka kumuua huyo askari hapo hapo kwenye "maeneo tulivu" ya bugando? Machadema bana! kwa hiyo kwa kuwa ni hospitali mlitaka wao wakae pembeni wanaangalia tu mpaka mnamuua askari eti kisa maeneo "tulivu"! kwa nini nyinyi hamkuyaheshimu hayo maeneo tulivu?
 
inasikitisha sana staili iliyotumiwa na hawa polisi uchwara ati wanatuliza vurugu ili wapole simu wakati watu wakiwa wamechanganyikiwa wengine hufanya kutuliza ghasia ndo chanzo cha mali hata kama hakuna vurugu hawa askari uchwara wao ndy chanzo cha vurugu ili wanufaike naomba mungu awafadhili vita wakome

Huwasemi hao chadema uchwara waliotaka kuutoa uhai wa askari bila kosa lolote unaleta unyumbu wako bila akili! pambaf! Ndio maana Lowasa anawaita ng'ombe wake maana alisema akishindwa uchaguza atakwenda kuchunga ng'ombe, lakini badala yake anaendelea kuwachunga nyinyi na hajaacha siasa wala hajaenda kokote! Ng'ombe we!
 
Haujui nn unachokiongea,ina maana hyo mwanachadema alouliwa co chochote kwako, kama kweli unapenda amani kwa nn hukulaani kitendo hicho cha green guard ,ww ni mpofu na haufai katika dunia hii

Kwani huyo inspector wa police mliotaka kumuua ndio alimuua huyo mtu wenu? akili za viroba tupu!
 
Walitaka askari auwawe ndipo waseme ni dhahifu. Kwenye kuokoa mtu aijali nu sehemu gani, na wanachadema ni wa kulaumiwa sana. KWA NINI WALITAKA KUMDHURU ASKARI WA TAIFA?
 
ujinga mkubwa...unapiga bomu hospitali?

hujui watu ni wagonjwa pale?

shenzzzy type
 
Hosipitali ya Bungando sehemu kubwa ya madakitari ni chadema. Walikuwa kila siku wanaomba Dr Magufuli na CCM ashindwe, hivyo mi sishangai. Na kuna watu nawajua pale ilibidi mpaka niwaondoe kwenye friend list zangu facebook maana sijui walilishwa nini yaania wao waliamini chadema kuliko CCM wakati chadema chama cha wahuni

Sio bugando tu, watumishi wa halmashauri asilimia 80 walikuwa ni waamini wa chadema kwa kuhujumu mambo mengi sana. Hospitali ninazozijua mimi waganga na manesi na waalimu walikuwa wanashabikia waziwazi chadema na kuhujumu mambo mengi makusudi tu! Inatakiwa ufanyike upembuzi yakinifu kuwaambia wanaotaka siasa waache kazi wakaimarishe chama au wabadilishwe kabisa vituo na wawe watumishi wa umma kweli sio wa chadema tu.
 
Siku hawa askari wakimbaka mama yako aliyekuzaa ndiyo utapata akili.
CCM mkubwa wewe.
Na siku wakimnajisi/wakimf,ila mtoto wako wa kiume ndo utaelewa
machungu watu tuliyonayo.
Au siku wakimuuwa mtu wako wa karibu kabisa bila sababu yeyote mbele ya macho yako
hapo ndo upumb,avu utakutoka kichwani

Tangu lini polisi wakawa waombolezaji ktk msafala wa msiba na hata mochuali
kama hawakuwa na nia ovu tu dhidi ya waombolezaji.

Naomba Mungu ajalie yakupate niliyosema hapo juu ndo
utaelewa utendaji mzuri wa hao polisi unaowapigia debe hapa.

Kimsingi ninaishi karibu na hospitali ya Bugando na walichofanya
hao polisi ulikiwa ni UHUNI.
 
Sio bugando tu, watumishi wa halmashauri asilimia 80 walikuwa ni waamini wa chadema kwa kuhujumu mambo mengi sana. Hospitali ninazozijua mimi waganga na manesi na waalimu walikuwa wanashabikia waziwazi chadema na kuhujumu mambo mengi makusudi tu! Inatakiwa ufanyike upembuzi yakinifu kuwaambia wanaotaka siasa waache kazi wakaimarishe chama au wabadilishwe kabisa vituo na wawe watumishi wa umma kweli sio wa chadema tu.
Ni kweli, inasikitisha sana. Kuna yule dk mkuu wa kahama hospital nilimuona kwenye star tv anaanza kujipendekeza kwa kufungia duka la wachina pale kahama, na yeye alikuwa ni chadema damu damu yaani alikuwa anamtukana na kumbeza dk magufuli utadhani yeye siye mwajiliwa wa serikali ya ccm. Pamoja na kuwa maslahi madogo ila wafanyakazi wengi wa serikali wanaibia sana serikali, siyo kwenye madawa wala miradi ya maendeleo. Nadhani kuna umuhimu wa kupitisha fagio
 
Ni kweli, inasikitisha sana. Kuna yule dk mkuu wa kahama hospital nilimuona kwenye star tv anaanza kujipendekeza kwa kufungia duka la wachina pale kahama, na yeye alikuwa ni chadema damu damu yaani alikuwa anamtukana na kumbeza dk magufuli utadhani yeye siye mwajiliwa wa serikali ya ccm. Pamoja na kuwa maslahi madogo ila wafanyakazi wengi wa serikali wanaibia sana serikali, siyo kwenye madawa wala miradi ya maendeleo. Nadhani kuna umuhimu wa kupitisha fagio

Ndio maana watumishi wabaya wote walikuwa wanamfagilia mwizi mwenzao na kumponda Magufuli wazi wazi yaani mpaka muda mwingine ukiwa hata bar au kijiwe walipokuwa wanamsema vibaya Magufuli hadi mtu unaamua kuondoka kwa maneno yao machafu. Walitaka aingie mwizi wapige dili kama kawa! imekula kwao, sasa ni kuwachuja vizuri anayependa siasa aingie huko moja kwa moja wabaki wachapa kazi tu.
 
Ficha upumbavu wako mpuuzi Wewe,Endelea kuwakatia viuno hao mabwana zako ila siku yakikukuta ndiyo utaujua udhalimu wa hao policcm.

Haya unayoandika ni kwa sababu ya ushabiki wako wa kingese kwa ccm,sisi tuliopoteza ndugu yetu vifua vyetu vimejaa visasi ambavyo haviwezi kuchakachuliwa na tume yoyote ya uchaguzi,endeleeni kutuuwa ila siku yenu ya kuyakimbia majumba yenu na kikimbilia Lumumba haipo mbali.
 
Back
Top Bottom