Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

Kuna mijitu ina akili za kipuuzi sana sana. Mpuuzi kabisa weweeee ndio maana hujui kutofautisha R na L

Haya utateuliwa viti maalumu.
 
Kwanza huyu Rehema sijui Lema kwanini hakamatwi na kufunguliwa mashitaka. Yeye ndio huwarubuni vijana kuanzisha vurugu za kisiasa, wazee wa Arusha wanalalamika watoto wao wamekuwa wanywa viroba, wavuta bangi na wala mirungi...wanatumika kwenye vurugu za kiasasa. Mbunge katika kipindi chake ameshindwa hata kubuni kitu kwa vijana wa Arusha kuleta maendeleo katika mkoa wao!
hivi ni nani aliyewarubuni wahuni wa ccm wakamuua Alphonce? Hao ndiyo wakulaumu, huyu peter daffi hajawahi kuwalaumu wauaji wa mawazo,ila ameona ni hekima aanze kwanza kuwalaumu waombolezaji!! Haya mkuu
 
Last edited by a moderator:
Akili za chadema wakati mwingine zinashangaza.haiwezekani kulazimisha gari zaidi ya 100 na boda boda ziingie eneo la mochwari eti kusindikiza maiti.
Kwani wangepaki nje ingekuaje.wanywa viroba wakiongozwa na katambi wapewe adhabu kali sana kwa kujeruhi yule mlinzi wa usalama ili iwe funzo.
 
bora tu walitumia mabomu ya machozi wangesema waingie kwa virungu mateke na ngumi wale vijana wa chadema kunawengine wangekua mochwari na icu ndo lawama zingeongezeka maradufu alafu pale ffu wa mwanza walikua hawajatia maguu kulikua na asikari kama wa tano tu walokuja na huyo ocd toka geita
 
Askali??
Kipaumbele cha kwanza elimu,cha pili elimu na cha tatu elimu
 
Lema na Lissu wanafaa kumpokea mzee Mbowe kijiti cha uenyekiti Wa chama.
Tumechoka kudhalilishwa na greengurds,tumechoka kupuuzwa na jeshi la polisi.Walikatwakatwa mapanga akina Kiwia na Machemli,alitekwa Rose Kamili na kuteswa,amechinjwa kiongozi Arumeru,tumepigwa mabomu Soweto Arusha,yote hayo hamna lilishughulikiwa ipasavyo.
Mbowe afaa kupumzika sasa.
 
Hata wewe nakushangaa unae tetea askari kwa kupiga wananchi wasio kuwa na hatia mabomu na kufanya taharuki kubwa hospitalini,labda kama umetumwa
Kwa hiyo ulitaka askari aliyekuwa anapigwa na wahuni kwa kushawishiwa na muhuni mwenzao naye afariki??? Vijana wake up mnatumiwa na manakubali kutumiwam CHADEMA ni chama cha vurugu. Thanks God hakikushinda hovyo kabisa!
 
Muhuni ni wewe na aliekutuma kuandika upuuzi huu

Tena ukome kumsema marehemu kuwa alikuwa muhuni kama wewe

Uwe na adabu kijana acha ulofa
 
Muhuni ni wewe na aliekutuma kuandika upuuzi huu

Tena ukome kumsema marehemu kuwa alikuwa muhuni kama wewe

Uwe na adabu kijana acha ulofa

He kweli BWM alikuwa right alieyesema marehemu alikuwa muhuni ni nani mbona unaniwekea maneno yako mdomoni kwangu? Na hii ni problem kubwa sana kwa CHADEMA , uongo. Nasikitika saana kifo cha binadamu mwenzangu awe wa imani yoyote. Sasa askari anapokuwa kwenye jukumu lake la kazi kwa nini nae auwawe?
 
Mwenzenu anaongelea ASKALI , nyie mnaongelea ASKARI.
 
Mtoa mada ni mvivu wa kufikiri na bila shaka ni jamaa wa buku 7.
Marehemu Mawazo ameuawa just 200 mts mbele ya kituo cha polisi na inasemekana watu 2 waliyoa taarifa kituo cha polisi lkn hakuna hatua yyte ilivhukuliwa na polisi wa katoro kuokoa maisha yake.
Hivyo kitendo hicho kilipelekea hisia mbaya dhidi ya polisi. Isitoshe huyo huyo polisi aliyekataa kutoa uokozi kwa marehemu Mawazo alionekana eneo la mochwari na kuzua taharuki kubwa kuhusu ujio wake pale mahala.
Kwa uhakika huyo polisi wa Geita lazima alaumiwe kwa uwepo wake mahala pale.
 
Kwa hiyo ulitaka askari aliyekuwa anapigwa na wahuni kwa kushawishiwa na muhuni mwenzao naye afariki??? Vijana wake up mnatumiwa na manakubali kutumiwam CHADEMA ni chama cha vurugu. Thanks God hakikushinda hovyo kabisa!

Kilishinda kwa 62%
 
Hoja nikutetea wagonjwa akasahau alikuwa anahatarishiwa Uhai wake kwa kipigo cha wana CDM.
Kweli Mabomu yalistua wagonjwa nk...
Lakini ilikuwa nilazima iwe hivo ili kuokoa uhai wa Mtu.

Sasa ntashangaa sana km kuna mtu atasema Askari wasingefanya vile wangefanya kimnya ili Mtu auwawe kisha tena Lawama Zije kwa Askari kuwa Askari wa Tz niwazembe sana.

Askari akufa mbele yao.

Mkuu unayaandika haya ukiwa na akili timamu? Mbona kwa tukio la kifo liliotokea hujatia hata neno? Mkuu kuwa serious vifo vingine vya makusudi watu wana hasira na uvunjifu huu wa sheria wa waziwazi wa wana mafisiem
 
kwa nhi zinazoendelea kama Tz demokrasia hairuhusiwi kupewa kipaombele 100%,
 
Kwa hiyo ulitaka askari aliyekuwa anapigwa na wahuni kwa kushawishiwa na muhuni mwenzao naye afariki??? Vijana wake up mnatumiwa na manakubali kutumiwam CHADEMA ni chama cha vurugu. Thanks God hakikushinda hovyo kabisa!

We ndio hovyo kabisa unayedhani wafuasi wa nje na utawala hawana haki yoyote. Jua kuwa wana CDM kokote walipo kifo cha mawazo kimewatachi na uzoefu unaonyesha polisi kutojali
 
Back
Top Bottom