Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 Mar 26, 2016 #2 Hao watakuwa Hizbu wa Zenji.........
Rapherl JF-Expert Member Jun 20, 2012 3,504 2,256 Mar 26, 2016 #3 Alafu inawezekana wakawa sio Askari pia
MOTOCHINI JF-Expert Member Jan 20, 2014 27,778 30,749 Mar 26, 2016 #4 Askari yupo mbele yao anawaangalia
1 1954 JF-Expert Member Nov 14, 2006 11,219 13,658 Mar 26, 2016 #6 Anthony Lawrence said: View attachment 332682 Click to expand... Vijitu vifupi vifupi namna hii, labda wanatoka Albania au Romania, lakini siyo askari wanaweza kuwa ni watu wa machimbo au conductors wa mabasi.
Anthony Lawrence said: View attachment 332682 Click to expand... Vijitu vifupi vifupi namna hii, labda wanatoka Albania au Romania, lakini siyo askari wanaweza kuwa ni watu wa machimbo au conductors wa mabasi.
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,218 Mar 26, 2016 #7 Hao ni askari, hao wa mbele sarawali zao hazijakauka kwaajili ya mvua wakaamue waingie job hivyo hivyo.
Hao ni askari, hao wa mbele sarawali zao hazijakauka kwaajili ya mvua wakaamue waingie job hivyo hivyo.