Askari wa Israel wazidi kupukutika. Watu wa Gaza washangaa kifaru kupigwa na bunduki za RPG

Jeshi la Israel limekiri kupoteza askari wake 15 katika masaa 24 yaliyopita.Idadi halisi ya waliokufa huenda ni zaidi ya wale 67 waliotangazwa na Hamas hapo jana.

Katika taarifa za leo vikosi vya Hamas vimesema mapambano makali ya ardhini yanaendelea katika viunga vya mji wa Gaza na kwamba wamefanikiwa kuviripua vifaru kadhaa vya jeshi hilo.

Kwa upande wa watu wa Gaza wameshukuru kwamba Mola wao hajawasahau.Wakasema wameona maajabu ya vifaru vya Israel kupigwa kirahisi na bunduki za RPG ikiwa ni miongoni mwa silaha nzito za Hamas ijapokuwa ni silaha duni kulinganisha na silaha walizonazo jeshi la IDF.

Kuna uwezekano iwapo taarifa za vifo vya askari wa Israel zitaendelea kuwekwa wazi askari waliobaki wa miguu wanaweza wakaanza kuasi na kukimbia vifaru vyao.Hiyo ni miongoni mwa sababu za Israel kupendelea kupambana na Hamas huku mawasiliano yakiwa yamekatika.

Katika hatua nyengine Marekani imesema kuanzia sasa itaanza kutumia aina mpya ya silaha za Laser ili kujilinda na makombora yanayoendelea kurushwa dhidi yao kutoka Yemen,Syria na Iraq.

Faida ya silaha hizo ni kuwa hazina gharama kulinganisha na makombora yaliyozoeleka.Hatua hii imekuja wakati aina nyingi ya silaha zinazomilikiwa na majeshi hayo zikiwa pia zinamilikiwa na majeshi mengine na wanamgambo wenye ugomvi nao.

Pamoja na hivyo wachambuzi wa silaha wanasema aina hizo mpya za silaha huwa zinafanya kazi wakati hali ya hewa ikiwa ni nzuri tu.Huwa hazina uwezo wa kuona makombora yanayokuja kukiwa na ukungu au hali nyengine mbaya za hewa.

Suali la kujiuliza ni mpaka lini nchi hizo zitaendelea kuishi kwa uhasama na ubabe huku kila kukicha silaha zinazovumbuliwa huwa zinaingia mikononi mwa maadui zao.

View attachment 2800319
Aina mpya ya silaha ya Lazer Marekani na Israel wanayokusudia kuitumia kujilinda dhidi ya makombora kutoka ardhini wanayorushiwa.
Wanauwawa kama nzige
IMG_20231101_221358.jpg
IMG_20231101_221354.jpg
IMG_20231101_221351.jpg
 
Mmh ila tunayoyashuhudia Aljazeera tena Pro HAMAS ni ya kusikitisha zaidi.Gaza wanapukutika mpaka imebidi wengine waruhusiwe kwenda Egypt kwa matibabu ya dharura.

Msemaji wa Wizara ya Afya anasema kila Hospital imefikia hatua wanachagua nani wajaribu kuokoa maisha yake na nani wamwachie ajifie tu.Hali ni mbaya sana Gaza huo ndiyo ukweli lakini.
Magaidi wa Israel Wapigweeee
Screenshot_20231101-220508.jpg
Screenshot_20231101-220447.jpg
 
Wazayuni wanazidi kutandikwa tu
Tulia upelekewe moto mpka ujue kuwa wanaume hawaoneshwi taqo. Maanina gaza inachakazwa. Waisrael ni wanyama aiseee. Yaan magaidi wanakanyagwa mpaka dunia inawaonea huruma na wanalialia kuomba huruma afu waisrael ndio kwanza wanakwambia hii haishi hawataki huruma wanataka kuifuta hamas na gaza wanachukua mazima
 
Intaneti inayotumika muda huu Gaza ni ya nani ?
 
Back
Top Bottom