Fuata sheria acha kulalamika!! Mimi huwa wananisimamisha lakini kwa kuwa na comply na sheria huniacha naendelea na shughuli zangu. Wewe lazima utakuwa na matatizo.Salamu wandugu,
kwanza ni wapongeze askari wa barabarani kwa kazi kubwa wanayofanya usiku na mchana.
Hoja yangu ni juu ya operation mnazofanya barabarani zimekuwa na usumbufu na kero kubwa yani ukamataji magari hata kama huna kosa wanatafuta makosa kwa lazima
Napenda kuwashauri askari wa barabarani ni kweli mnafanya kzi nzuri ila tunawaomba mtende haki msilazimishe makosa sisi ni watanzania wenzeni hatuna mashamba ya hela tunayovuna ili kulipa hizo faini.wengine wanaandika faini kimyamya unashangaa unakamatwa eti unadaiwa hata ulipofanya kosa hujui.Jamani muwe na utu mnatutesa na kufanya tuwachukie.ki ukweli watu wanachukia sana hayo mnayofanya barabarani kama mtu hana kosa muache sio kulazimisha makosa na makosa mengine ni kumuonya mtu sio lazima upige faini mnaumiza watanzani bure na kujijengea chuki.tambueni nyie ni sehemu ya jamii msijenge uadui na raia kwa kuwabambikia makosa.
Imefikia hatua tunaogopa kuendesha gari siku za jumamosi na jumapili kwa sababu ya nyakua nyakua kila kona ,ki ukweli mnapata hela kupitia hizo faini ila mnaacha majeraha mioyoni mwa watu.kwa hiyo nawashauri mtende haki si vinginevyo kama kosa la faini mwandikie lakini kama hamna kosa mwache dereva sio kulazimisha ,hata hivyo makosa mengine mnaweza shauri mtu cha kufanya sio kumuandikia faini.
Dah,pole Mkuu inaonekana unawachkia Sana maana umeandika Kwa hisia Sana,hata Mimi siwapend kwakweliUko sahihi kabisa mleta mada, serikali yenyewe haiko "perfect" kama wanavyotaka madereva tuwe , kwa kweli nawachukia sana japo kuna ndugu zangu wanafanya hiyo kazi. kwa kuwa hatuna muda wa kwenda mahakamani ndio kinawapa kiburi , naona imefika wakati wa kwenda mahakamani kusimamia haki , inakera sana , nimeichukia hadi serikali kwa sababu yao. hapa nilipo nadaiwa 60,000/= ndani ya siku mbili , na zote ni uonevu wa dhairi , (kosa la kwanza , taa moja ya mbele iliungua nikiwa nasafiri usiku , nikamuuliza unajua muda gani taa inaungua hana jibu anasema yeye anasimamia sheria , la pili ni pale external trafic light wanapovizia , taa ya orange imewaka nikiwa katikati ya njia panda , je ningesimama ?? bado wanaandika faini kwa kiburi , inauma sana . Mungu anawaona , hivi wao wako safi 100% !!!!!!!!!!???? ninawachukia sana.
Yangu siaminikabisa kama kuna anayeweza panda yaana hata kama ni mwanangu kaamua kuwa traffic. yaani wanaonea sana. Anaandika faini hata kabla hujasimama kukueleza kosa lako! Ohooh mara gari mbona ina michirizi mingi.Mi hata nikikuta afande anataka lift siwezi mpandisha kwenye gari yangu. Make wamesha niandikia makosa kama matatu ya kulazimisha, hakika yanaumiza eiseh!
Wewe unaonekana huna gari au unaishi mkoani siyo Dar.askari wa barabarani wanalazimisha sana makosa sijapata kuona.mpka huwa nadhani labda lengo lao kuwa barabarani ni kukusanya helaFuata sheria acha kulalamika!! Mimi huwa wananisimamisha lakini kwa kuwa na comply na sheria huniacha naendelea na shughuli zangu. Wewe lazima utakuwa na matatizo.
Kama unavunja Sheria inabidi ushughulikiweAlafu saivi usiku hawaeleweki sio kama zamani kuanzia sa moja hauwakuti,unaingia dar umezoea kunyoosha bila kuzingatia speed 50 wamejaa kuanzia mlandizi
Sasa kwa mfano huyu anaongoza magari... tena kwa ishara kwamba uende kwa kasi... ghafla anasimamisha unajikuta huna namna unasimama kwenye zebra crossing... anakuja mwenzake anakulamba fine kwanini umesimama kwenye kivuko cha wavuka kwa miguu....Fuata sheria acha kulalamika!! Mimi huwa wananisimamisha lakini kwa kuwa na comply na sheria huniacha naendelea na shughuli zangu. Wewe lazima utakuwa na matatizo.
Fuata sheria acha kulalamika!! Mimi huwa wananisimamisha lakini kwa kuwa na comply na sheria huniacha naendelea na shughuli zangu. Wewe lazima utakuwa na matatizo.
Uko sahihi kabisa mleta mada, serikali yenyewe haiko "perfect" kama wanavyotaka madereva tuwe , kwa kweli nawachukia sana japo kuna ndugu zangu wanafanya hiyo kazi. kwa kuwa hatuna muda wa kwenda mahakamani ndio kinawapa kiburi , naona imefika wakati wa kwenda mahakamani kusimamia haki , inakera sana , nimeichukia hadi serikali kwa sababu yao. hapa nilipo nadaiwa 60,000/= ndani ya siku mbili , na zote ni uonevu wa dhairi , (kosa la kwanza , taa moja ya mbele iliungua nikiwa nasafiri usiku , nikamuuliza unajua muda gani taa inaungua hana jibu anasema yeye anasimamia sheria , la pili ni pale external trafic light wanapovizia , taa ya orange imewaka nikiwa katikati ya njia panda , je ningesimama ?? bado wanaandika faini kwa kiburi , inauma sana . Mungu anawaona , hivi wao wako safi 100% !!!!!!!!!!???? ninawachukia sana.

acha ndugu yangu leo jumamosi ndo nyakua nyakua kila mahali tunaogopa hata kutembea na private car kila mahali ukaguzi mara lete leseni anaanza maswali mara kadi ooh taa inanyufa nakuandikia ukipanic wanakuja wengi kukukomesha faini imekuwa dili sijui kuna bonus wanapataTena kwa uongozi huu tulionao wamezidi, imekuwa kero sasa.