Askari usalama barabarani Mbagala agongwa na daladala

Askari usalama barabarani Mbagala agongwa na daladala

R.I.P Mla rushwa....ila nashukuru kifo chako kitatupunguzia kero barabarani......
 
Hivi wewe bwana mbona matukio mengi unakuwepo? Lile la juzi mkuu wa Wilaya Arumeru alipotangaza walimu wakatwe mshahara kuchangia maabara nawe ulikuepo.

....usimsahau na P Diddy pia...hawa nahisi watakuwa askari wa Tigo.
maana kila matukio wapo
 
Last edited by a moderator:
poleni sana wafiwa wote polisi wa barabarani mnatakiwa kuwa makini sana
 
....usimsahau na P Diddy pia...hawa nahisi watakuwa askari wa Tigo.
maana kila matukio wapo

Hell yeah atakuwa wa tiGo au Defender matukio yote ya dsm anukuwa yupo na picha anazo!! Ni sheeedaaa!
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana...Apumzike kwa Amani..!
 
Hivi wewe bwana mbona matukio mengi unakuwepo? Lile la juzi mkuu wa Wilaya Arumeru alipotangaza walimu wakatwe mshahara kuchangia maabara nawe ulikuepo.

Ha ha ha ha watoto wa mjini hao kila mahali wapo kila kitu wanajua.
 
Police inabidi mjitafakari na huko barabarani msimamie sheria kwa weledi watu wanagongwa barabarani kutokana na shughuli nyingi za kibinadamu kama masoko kufanyika katikati ya barabara sijui mnasimamia kitu gani
 
Naona ubinadamu umekutoka na hata huruma na masikitiko hauna. Vema Mungu sio athumani.

Tuna kuombea afya njema Traffic wetu.
Kuna Police aliyekuonea Huruma? Adui Muombee Njaa
 
na waache kutokezea mbele ya mabasi hzo dcm zisha expire break kitambo......
 
Sasa kama pale Mbagala na tegeta vurugu ni balaa! Hujui barabara wala mwisho wa soko hadi foleni kibao, najiuliza wsle polisi wanasimamia kitu gani? Watu na daladala kuvunja sheria? Wajirekebishe au kama wamekuwa maofisa wa tra watuambie! Police kazi kubwa ni kusimamia sheria za barabarani sio kuona zinavunjwa wao wapo wanakusanya mapato . Napenda tu kuwambia kitendo chao cha kuwepo njiani just kukusanya mapato kinawapa tension sana hasa madereva wa daladala na malori! Hili liwe fundisho hututegemei mlinda sheria mwingine afe kwa aina hii
 
Back
Top Bottom