na kupoteza fahamu kukimbizwa hospital ya temeke baadae muhimbili jijini dar,kwa mujibu wa afisa wapolisi amethibitisha hali ya polisi uyo inaendelea vema bahada ya jitihada za madaktari kwani alizimia kwa masaa 2 ,dereva wa gari ilo alikamatwa eneo la kizuiyani alipokuwa anajaribu kutoroka,Polisi mmoja wa usalama barabarani aliejulikana kwa jina moja la riziki mwenye namba wp 2806 wa kituo cha kilwaroad temeke daresalam ,amegogwa na gari la abiria dcm leo asubuhi eneo la mbagara rangi tatu akiwa katika majukumu yake,View attachment 185620 na kupoteza fahamu kukimbizwa hospital ya temeke baadae muhimbili jijini dar,kwa mujibu wa afisa wapolisi amethibitisha hali ya polisi uyo inaendelea vema bahada ya jitihada za madaktari kwani alizimia kwa masaa 2 ,dereva wa gari ilo alikamatwa eneo la kizuiyani alipokuwa anajaribu kutoroka,
we vp unataka mwenzio afe ,soma vema thread acha kukurupuka,nani kakwambia kafa,au kusoma ujui weweMkuu hatakama hujenda shule unataki ujue nikosa kuweka picha ya maiti in public
Matraffic me nawachukulia ni maadui. Haki kwao imetendeka. Hakuna trafic msafi wa tabia
Nasikia amefariki leo Asbh
Sina uhakika na muda raia waliotumia 'kumshangaa' majeruhi, lakini hatua za awali si ingekuwa kumuwahisha hospitali kuliko kumsimamia kumshangaa?
Amefariki kweli kwa taarifa rasmi Kutoka kwa wp 8035