Hali icyo ya kawaida
polisi wakituo kikuu cha Rombo wasababisha kifo cha kijana Massawe
katika maeneo ya rombo baada yakuombwa rushwa ya Tsh laki tatu kwa lengo
la wao kumsamehe kumpeleka kituoni cha polisi, kijana huyo alikamatwa
akiwa na mbao ambazo zimekatazwa kuvumwa kwa kipindi hichi, bwana
Massawe aliwaeleza askari kwamba anazo laki mbili nyumbani, askari hao
waliongozana na kijana huyo hadi nyumbani na kijana huyo aliwapatia laki
mbili askari hao walikataa ikampelekea kijana huyo kunywa sumu mbele ya
askari hao,juhudi binafsi zilifanyika na baadhi ya watu kuenda ofisi ya
takukuru wilaya na leo itafanyika paredi ya askari wote kwa lengo lamke
wa masawe kuweza kuwatambua,mazishi yenyewe yatafanyika kesho tarehe
23.11.2012, Wito wangu Kwajeshi la Polisi hasa kwa Saidi Mwema vijana
wako wanakuharibia kazi,angalia vijana tusiidai damu ya ndugu yetu
polisi lifuatilieni kwa ukaribu jambo hili