Askari Rombo wasababisha kifo kwa sababu ya kuomba rushwa ya laki tatu

Priva mella

Member
Oct 31, 2012
81
28
Hali isiyo ya kawaida polisi wa kituo kikuu cha Rombo wasababisha kifo cha kijana Massawe katika maeneo ya rombo baada yakuombwa rushwa ya Tsh laki tatu kwa lengo la wao kumsamehe kumpeleka kituoni cha polisi, kijana huyo alikamatwa akiwa na mbao ambazo zimekatazwa kuvumwa kwa kipindi hiki, bwana Massawe aliwaeleza askari kwamba anazo laki mbili nyumbani, askari hao waliongozana na kijana huyo hadi nyumbani na kijana huyo aliwapatia laki mbili askari hao walikataa ikampelekea kijana huyo kunywa sumu mbele ya askari hao, juhudi binafsi zilifanyika na baadhi ya watu kuenda ofisi ya takukuru wilaya na leo itafanyika paredi ya askari wote kwa lengo la mke wa masawe kuweza kuwatambua, mazishi yenyewe yatafanyika kesho tarehe 23.11.2012, Wito wangu Kwa jeshi la Polisi hasa kwa Saidi Mwema vijana wako wanakuharibia kazi, angalia vijana tusiidai damu ya ndugu yetu polisi lifuatilieni kwa ukaribu jambo hili.
 
Yesu na Maria na Yosefu.

Mangi amejitoa uhai kisa heleri? Mungu amsamehe na awahukumu kwa haki askari wapenda rushwa.

Yu wapi Mkuu rombo atupe habari kwa kina asee? Yeuuuwiii!
 
Last edited by a moderator:
Yuko wapi huyu member Mkuu rombo atupe yanayojiri hapo kwa sasa?

Hao ndio Polisisiem jamani!
Marehemu Masawe pumzika kwa Amani yake Bwana!
 
Last edited by a moderator:
Mangi bwana watu tunapenda kuishi yye kajimaliza
kajikomoa mwenyewe chezea mrombo ni hatari
 
ila mapolisi na traffic wanatia aibu! ni kichefuchefu haswa kipindi hiki cha x-mas! wanavuna kweli kweli! yaani wanapenda rushwa sijapata kuona! MUNGU AWASAMEHE SANA!!
 
Hali icyo ya kawaida
polisi wakituo kikuu cha Rombo wasababisha kifo cha kijana Massawe
katika maeneo ya rombo baada yakuombwa rushwa ya Tsh laki tatu kwa lengo
la wao kumsamehe kumpeleka kituoni cha polisi, kijana huyo alikamatwa
akiwa na mbao ambazo zimekatazwa kuvumwa kwa kipindi hichi, bwana
Massawe aliwaeleza askari kwamba anazo laki mbili nyumbani, askari hao
waliongozana na kijana huyo hadi nyumbani na kijana huyo aliwapatia laki
mbili askari hao walikataa ikampelekea kijana huyo kunywa sumu mbele ya
askari hao,juhudi binafsi zilifanyika na baadhi ya watu kuenda ofisi ya
takukuru wilaya na leo itafanyika paredi ya askari wote kwa lengo lamke
wa masawe kuweza kuwatambua,mazishi yenyewe yatafanyika kesho tarehe
23.11.2012, Wito wangu Kwajeshi la Polisi hasa kwa Saidi Mwema vijana
wako wanakuharibia kazi,angalia vijana tusiidai damu ya ndugu yetu
polisi lifuatilieni kwa ukaribu jambo hili

Hii mbona kama imeshaletwa hapa jamvini tangu mwaka jana?
 
Yesu na Maria na Yosefu.

Mangi amejitoa uhai kisa heleri? Mungu amsamehe na awahukumu kwa haki askari wapenda rushwa.

Yu wapi Mkuu rombo atupe habari kwa kina asee? Yeuuuwiii!
Mkuu, sasa huyu Massawe alikuwa amekunywa dadii au kitu gani....yani unafanya biashara ya magendo halafu unakuwa muoga muoga naona hiyo??!!
 
Jamani police mbona hivyoooooo?
Yani imefika kipindi ambacho mnanjaa kali kiac hicho mpaka mnasababisha kifo cha MASAWE???????
Saidi Mwema angetakiwa afanye mchakato wa kuwaathibu haooo wote waliohusika na
ambao wanatabia kama hizo za kuomba rushwa.
Mungu atenda awezavyo juu ya hao waliohusika kuwa chazo cha kifo cha marehemu.
 
Hizi habari ni kweli tupu.
Hizo mbao wamegeuza 'dili' huzisaka kwa nguvu zote ili wadai rushwa.
 
Naumia xana cuz cpo hom ili nweze kutoa habari kiuhakika but hawa maaskari wa pale mkuu police station ni disaster! Cjui kama yule trafiki mwakibinga ashasepa cuz namfaham cnc 2003 nkiwa fom 4 mkuu sec! Sometin mus b done guys!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom