Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Ningekuwa na kiasi kikubwa cha pesa za Kitanzania, ningenunua dola or any other major currencies, kwa sababu kwa hali inavyokwenda itakuwa ngumu watu kuweka hela benki na kifuatacho soon or later ni zoezi la kubadili currency ya bongo. dola sio voluminous na unaweza kuihifadhi kwa njia bora zaidi ambazo nisingependa kuziweka wazi kwa usalama wa wale ambao tayari wanafanya hivyo