Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
Nilikuunga mkonoNilisema, ile siyo dhahabu ya wizi. Kosa ni namna walivyokuwa wanaisafirisha tu.
Inaonekana kuwa wale watu wana vibali vya ununuzi na uuzaji wa dhahabu.
Tusubiri.
Nilikuunga mkonoNilisema, ile siyo dhahabu ya wizi. Kosa ni namna walivyokuwa wanaisafirisha tu.
Inaonekana kuwa wale watu wana vibali vya ununuzi na uuzaji wa dhahabu.
Tusubiri.
Pumbavu wewe.nani alikwambia raia ana miliki pesa!!?? Pesa yoote ni mali ya serikali.wewe una miliki thamani tu.watapata tabu na kikokoto yani pesa yako mwenyew umeweka bank unaenda kutoa haki yako bado unachunguzwa na kufatiliwa bush****t
Sent using Jamii Forums mobile app
serekalini ni Alien au watu???Pumbavu wewe.nani alikwambia raia ana miliki pesa!!?? Pesa yoote ni mali ya serikali.wewe una miliki thamani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajua mwenyewe km serikali ni watu au ni alien.wkt mwingine mnachosha kbs na huu utaahila wenu.
Kumbe Mkuu wa mkoa ndio anaamua habari itoke au isitoke.. kwa hiyo ni yeye aliamua paparazi watutangazie au? Polisi nchini hapa kama viongozi wao ni Wakuu wa Mikoa, je IGP na wengine walio juu yao kama wa huyo aliyekataa kutoa habari.. wao wanakuwa juu au chini ya Wakuu wa Mikoa nchini?
Nifundisheni nijue ya nchi yetu
Siyo watu wa system ila kuna kitu kinaitwa "Ant- Money Laundering". Wewe kama kwenye akaunti yako benki wamezoea utoaji pesa wako labda ni TZS 500,000 mpaka 5,000,000 siku ukitaka kutoa labda 50,000,000 lazima wawe na wasiwasi nawe unaenda kufanyia nini hizo pesa. Kunyume chake kama akaunti yako inapokeaga TZS 500,000 mpaka 5,000,000 siku ukitumiwa labda 50,000,000 hutaweza kuitumia hiyo pesa mpaka benki wapate uhakika wa chanzo chake kama ni halaliKuna Haja Gani ya wao kuihusisha benki kama taarifa zimetolewa ki intelligence kwanini wasingefatilia kimya kimya tu bila kusema kuwa benk wamewapa intel, Wanavuruga biashara ya benki sasa tunajua Ma managers wengi wa banks ni watu wa system
Sent using Jamii Forums mobile app
watapata tabu na kikokoto yani pesa yako mwenyew umeweka bank unaenda kutoa haki yako bado unachunguzwa na kufatiliwa bush****t
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kumbe mzee babaa... Sasa mbona escrow walikuwa wanapiga mabilioni tu waziwazii..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bhasi kungekuwa hakuna ufisadi mkuu nadhani hakuna Kitu kama hichoo kwamba Ukiingiziwa mil 50 inabdi uwaambie Bank ya nini na umeipataje???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Siyo watu wa system ila kuna kitu kinaitwa "Ant- Money Laundering". Wewe kama kwenye akaunti yako benki wamezoea utoaji pesa wako labda ni TZS 500,000 mpaka 5,000,000 siku ukitaka kutoa labda 50,000,000 lazima wawe na wasiwasi nawe unaenda kufanyia nini hizo pesa. Kunyume chake kama akaunti yako inapokeaga TZS 500,000 mpaka 5,000,000 siku ukitumia labda 50,000,000 hutaweza kuitumia hiyo pesa mpaka benki wapate uhakika wa chanzo chake kama ni halali
Sasa kama akaunti yako inapokeaga mshara wa labda 1,000,000 kila mwezi halafu from no where upokee 20,000,000 lazima uitolee maelezo ndipo uweze kuitumia hiyo pesaDuuh kumbe mzee babaa... Sasa mbona escrow walikuwa wanapiga mabilioni tu waziwazii..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bhasi kungekuwa hakuna ufisadi mkuu nadhani hakuna Kitu kama hichoo kwamba Ukiingiziwa mil 50 inabdi uwaambie Bank ya nini na umeipataje???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi sikia hiyoo Kituu...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Sasa kama akaunti yako inapokeaga mshara wa labda 1,000,000 kila mwezi halafu from no where upokee 20,000,000 lazima uitolee maelezo ndipo uweze kuitumia hiyo pesa
Si mpaka ziingie ndipo utasikia.Sijawahi sikia hiyoo Kituu...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu bhanaa...sema bado na wasiwasiiiSi mpaka ziingie ndipo utasikia.
Ipo kisheria hii mkuu?Yaan ukitoa juu ya m50 kila kiongonzi wa mkoa na kamati ya usalama wanajua
Sent using Jamii Forums mobile app