Askari Polisi waliokamata dhahabu wachunguzwa

Askari Polisi waliokamata dhahabu wachunguzwa

Hiyo benki ni yakuihama kabisa. Kama una matatizo na vyanzo vyangu vya pesa niite ofisini, kama haujaridhika na maelezo yangu tutawashirikisha TRA. Sasa pesa yangu iko kwenye akaunti nahitaji kuichukua wewe unanipa halafu unampigia mkuu wa mkoa kwamba unanitilia mashaka?!! Sku hizi benki zinaendeshwa na wakuu wa mikoa? Hata kama kuna tukio ambalo unahisi linahatarisha usalama sehem ya kuriport ndiyo kwa mkuu wa mkoa? Pesa yenyewe milioni mia tatu tu!! Haya sasa, aliyeenda kuchukua milioni hamsini wakati tayari watu wako chini ya ulinzi ni nani, na alikuwa anampelekea nani, zanini?
 
Kweli maneno yako. Hela haujasaidiwa kuitafuta ila kwenye kuitumia unapangiwa.
 
Tunapokosea ni masuala kama haya ya usalama kushughulikiwa na wakuu wa mikoa, ambao hawana taaluma yake. Ndo maana wanaropoka na kuvujisha siri.

Katiba yetu inahitaji kubadilishwa ASAP
 
Kumbe nikidunduliza pesa yangu benki isizidi milioni hamsini nikipata dharula na kuhitataji pesa yangu atataarifiwa arasii
 
watapata tabu na kikokoto yani pesa yako mwenyew umeweka bank unaenda kutoa haki yako bado unachunguzwa na kufatiliwa bush****t

Sent using Jamii Forums mobile app

Bank wana ethics zao za kazi na ambazo mteja unatakiwa u-conform kabla hawajakuhudumia, ama la ukikiuka wanakunyima pesa pamoja na kwamba pesa ni yako. Kwa mfano, kuna kiwango fulani cha pesa ukitaka kutoa lazima uwe na ulinzi wa Polisi na usipokuwa nao wanakunyima. Hii ni katika kukusaidia maisha yako yasije yakaingia hatarini kule utakakoelekea baada ya kuwa wamekukabidhi pesa zako. Vivyo hivyo kwa huyo aliyeenda kuomba kutoa pesa nyingi hizo kwa dharura, kisheria Bank wanatakiwa wajiridhishe kwamba anachukua pesa hizo kwa kusudi jema, na hata kama ingekuwa kweli kwa kusudi jema, bado sytem ya nchi ingepewa taarifa kutoka Benki, ila mhusika asingeweza ku-trend public, assuming angekuwa ameenda kuchuka kwa nia njema.

Mimi kidogo siku hizi nimeshaanza kupata shida humu JF siku hizi hata matukio ya kawaida tu tunashindwa kuyaona kama yalivyo, kumetokea nini? Nachelea kusema kuwa JF ya siku hizi imeanza kuwa tofauti sana na ile ya zamani,..., nowadays we rarely see the obvious, contrary to how we used to be in the past,.... kumetokea nini?
 
sasa ukisha chukuw scot ya polisi ndio nin sasa kwan hizo pesa kama zikiibiwa na wezi si zangu shida iko wap wa tangaze tu kwamba saiv ukienda toa pesa kwanzia m30 RC, inspector lazima wajue fullstop!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Branch Manager anapiga simu kwa Mkuu wa Mkoa kwanza badala ya Polisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninadhani baadhi yetu hatujui taratibu za kibenki.
Tupàte somo kuhusu uwekaji na utoaji wa fedha toka banki.
Kwa nini unapotoa kiasi kikubwa unatakiwa utoe taarifa kwanza. Je ni kwa vile hawana pesa ya kukupa au wana sababu ya kufanya hivyo.
Tunge tafuta kujua au kuelimishwa kuhusu taratibu hizo hata malùmbano haya yasingekuwepo.
Mwisho, tujue sheria na taratibu za benki ndo tupate mwanga wa kuchangia mawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#watu wanafanya biashara yao nyie mnawazuia. Why!?#

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani aliye turoga wabongo? Issue hii hata kabla Rais hajaizungumzia "common sense" tu ilikuwa inaonyesha kuwa kuna jambo hali jakaa sawa.
Tumepata ukweli sasa kuwa askari wetu walipata hongo na wakikusudia kufanya hujuma kwa nchi.
Hivyo basi ukweli umejulikana, na ninaamini taasisi zetu k.m Bank zina haki kutoa taarifa zinazotatanisha kama vile wasiwasi kuhusu utakatishwaji wa pesa/ money laundering, ulinzi na ujenzi wa nchi ni jukumu letu kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi 100%.

Mfano mwingine maswala ya kufatiliana pesa ulizonazo bank, mara upigiwe simu kuitwa na kuhojiwa. Hii italazimisha watu kuweka pesa kienyeji na kukwepa bank (kwasababu ya usumbufu usio na maana). Wanapaswa kuweka mazingira rafiki ili hata mtu aone kuweka bank pesa ni SAFE na hakuna mlolongo.

Pia ukitaka kwenda kihalali ujue TRA wanakuweka kwenye mabano, utapelelezwa mpaka hela za chupi ulipotoa. Mamlaka husika wanatakiwa kuweka mazingira RAFIKI ili raia/wafanyabiashara wasiwe na HOFU ya kutoa taarifa muhimu au kuomba msaada husika.

Hawa jamaa ndio tutakapo shangaa, wakikutwa kua wana VIBALI vyote muhimu, wanunua kihalali na kodi wamelipa. Ila wamevunja sheria ya kusafirisha tu.

Yote yanawezekana.
Tatizo la watanzania ni kupenda umbea tu, kwa akili ya kawaida huwezi kununua kitu cha zaidi ya Tshs 100 mil. halafu ufanye kwa kificho kwani ni hatari hata kwa mnunuaji mwenyewe;
Unaweza kupunguza thamani lakini ni busara ukapata stakabadhi halali ili usitapeliwe isitoshe kama una duka la/au Sonara hiyo inaruhusiwa na hulipi kodi mara mbili (tofauti na VAT);
Inaelekea kana kwamba dhahabu ilikuwa inatoroshwa nje ya nchi na hizo fedha ni kwa ajili ya kusafishia njia/rushwa na hapo ndipo biashara ya magendo inavyoanza;
Kwa wadau wa magendo hiyo ni "ajali kazini ama mbuzi kafia kwa muuza supu"!
 
Back
Top Bottom