Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 749
- 1,797
Askari polisi Rafael Paulo aliyekuwa kitengo cha kutuliza ghasia FFU jijini Arusha amehukumiwa jela miaka 30 ,viboko, 12 na faini milioni 15 .yeye amesema akubaliani na ukumu hiyo atakata Rufaa
Hukumu ni ya ubakaji, sio kupiga.Wanapowapiga wananzengo wanajiona watakatifu na wateule fulani hivi. Stahili yake
Unatetea nini Lumumba ?!Hukumu ni ya ubakaji, sio kupiga.
Utaendelea kutandikwa tu, regardless jamaa kafungwa jela.Unatetea nini Lumumba ?!
Nilijua umeumia robot lako kula mvua. Ndiyo maana tunasema nchi hii ni yetu sote tuheshimiane, unaweza kudhani mahabusu na magereza ni kwa ajili ya upande wa pili kumbe sio. AKOMEUtaendelea kutandikwa tu, regardless jamaa kafungwa jela.
No, even without apology, JF is also where learning process takes place/forum!shemeji
akubaliani = hakubaliani
ukumu= hukumu
samahani lakini
Aliyebakwa amepewa nini nayeye???Nilijua umeumia robot lako kula mvua. Ndiyo maana tunasema nchi hii ni yetu sote tuheshimiane, unaweza kudhani mahabusu na magereza ni kwa ajili ya upande wa pili kumbe sio. AKOME