WP preta, habari ya yaeda chini.heri Pinda usingesema vile......
WP preta, habari ya yaeda chini.
Bravo Majambazi bora mkae nazo hizo silaha ninyi kuliko polisi.
Tatizo ni kuwa sasa hivi wananchi hawawezi kushirikiana na polisi tena, kwa sababu polisi wameambiwa wawapige wananchi. Huyu alikuwa kwenye basi kama escort, kumbe hakuna lolote kanyanganywa mpaka bunduki, what a shame
heri Pinda usingesema vile......
Taratibu mkuu jamani, kweli hiyo??
Taratibu mkuu jamani, kweli hiyo??
Mkuu tofauti ya hao polisiCCM na Majambazi ni kuwa wengine wana sare na wengine hawana sare.