Askari polisi anyang'anywa bunduki smg no.14302551

Askari polisi anyang'anywa bunduki smg no.14302551

[FONT=comic
sans ms]ilikuwa hatari sana basi......angeweza kuuwawa
huyu..........[/FONT]

tena sijau kwanini walimuacha hai,wangemuua kabisa huyo polisi,niipate nafasi ya kuua polisi wallah siiachi.
 
Mhhhh. Tuwe wazalendo na nchi
yetu. Tusishabikie mambo mengine. Bunduki Kuwa mukononi mwa majambazi
ni hatari kuliko mnavyodhan

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

sasa kuna hatari gani bunduki ikiwa mikononi mwa jambazi,matukio ya kudhuru na hata kuua mtu kwa kutumia binduki ni mengi zaidi yanayofanywa na polisi kuliko majambazi,tena kwa taarifa yako jambazi haui kwa bunduki ktk mission yake,hadi atakapohisi yupo hatarini
 
Mhhhh. Tuwe wazalendo na nchi
yetu. Tusishabikie mambo mengine. Bunduki Kuwa mukononi mwa majambazi
ni hatari kuliko mnavyodhan

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

bunduki kuwa mikononi mwa jambazi ni salama kuliko unavyodhani.

sent from mchina wangu techno 125 using
JamiiForum
 
Back
Top Bottom