Askari na kuruta…

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
:argue:

Askari aliamua kumtuma kuruta wake kutoka kijiji kimoja kwenda kingine. Kijiji alipokuwa askari na kuruta kilikuwa kinaitwa NAKULARAHA na kile kingine kilikuwa kinaitwa NAMAMAYAKO.
Sikia maongezi yao sasa kwenye simu…
Askari: Weewe Kuruta!!! Umefika wapi hadi sasa?
Kuruta: Afandee! Nipo katikati ya NAMAMAYAKO na NAKULARAHA mkuu.
Askari: Umesemaje??!
Kuruta: Mkuu yaani ni hivi nimefika katikati ya hivi vijiji viwili…. Umenisoma sasa vizuri. Kwani we ulinisomaje??
 
th teh, majina nengine bana
 
mh,nimekusoma,karibu nagonga menu hapa nakapanya,ila jioni ntalala nanguruwe.
 
mh,nimekusoma,karibu nagonga menu hapa nakapanya,ila jioni ntalala nanguruwe.

Heeh hiiyaah... Naona hii nayo ni nyingine tata pia unakula Panya na Kulala na Nguruwe. Iko njema hii..😛eace:
 
vijiji vingine bana.! tehe, unaweza ukapigwa risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…