Yo Yo JF-Expert Member May 31, 2008 11,217 1,706 Oct 16, 2012 #1 Askari mkakamavu kabisa kulia akijiandaa kuupokea mwili wa kamanda barlaw.... <tbody> </tbody> Hapa askari mkakamavu kabisa kulia mwenye suti ya kibluu akijiandaa kwa heshma zote kuupokea mwili wa kamanda barlaw. <tbody> </tbody>
Askari mkakamavu kabisa kulia akijiandaa kuupokea mwili wa kamanda barlaw.... <tbody> </tbody> Hapa askari mkakamavu kabisa kulia mwenye suti ya kibluu akijiandaa kwa heshma zote kuupokea mwili wa kamanda barlaw. <tbody> </tbody>
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Oct 16, 2012 #8 Dotworld said: Click to expand... huyu ndo kiboko ya njia
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Oct 16, 2012 #11 Dotworld said: Click to expand... Afwande matiko nahitaji support
Ngongo JF-Expert Member Sep 20, 2008 18,926 31,169 Oct 16, 2012 #15 Duh huyu mwisho wa maarifa kajazia kuliko wanawake wengi ninao wafahamu. .
driller JF-Expert Member Aug 25, 2011 1,116 246 Oct 16, 2012 #16 duh asee yani hizi miili ni balaa kibaka akiiba kwenye mkoba wa mama au akimchomoa mtu hapo....! yani ao mapolisi wataona vumbi tu...!
duh asee yani hizi miili ni balaa kibaka akiiba kwenye mkoba wa mama au akimchomoa mtu hapo....! yani ao mapolisi wataona vumbi tu...!
Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 Oct 16, 2012 #17 TIQO said: Ndo maana waharifu wanatoroka Click to expand... TIQO fikiria huyu jamaa hapa akichomoka ... Je ataweza kumkimbiza?!
TIQO said: Ndo maana waharifu wanatoroka Click to expand... TIQO fikiria huyu jamaa hapa akichomoka ... Je ataweza kumkimbiza?!
Cheche Mtungi JF-Expert Member Nov 14, 2010 2,619 771 Oct 16, 2012 #18 Yo Yo said: Askari mkakamavu kabisa kulia akijiandaa kuupokea mwili wa kamanda barlaw.... <tbody> </tbody> Hapa askari mkakamavu kabisa kulia mwenye suti ya kibluu akijiandaa kwa heshma zote kuupokea mwili wa kamanda barlaw. <tbody> </tbody> Click to expand... Nasikia hata RICK ROSS alikuwa askari jela,akanogewa na mistari akasepa!
Yo Yo said: Askari mkakamavu kabisa kulia akijiandaa kuupokea mwili wa kamanda barlaw.... <tbody> </tbody> Hapa askari mkakamavu kabisa kulia mwenye suti ya kibluu akijiandaa kwa heshma zote kuupokea mwili wa kamanda barlaw. <tbody> </tbody> Click to expand... Nasikia hata RICK ROSS alikuwa askari jela,akanogewa na mistari akasepa!
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Oct 16, 2012 #19 Ahhhhhh,,,,hizi picha zimenichekesha sanaaa,,,,,,,,,, jaman kuna mmoja yupo mahakama ya kisutu pale anaitwa HAMISI,,,,,,hahahaaa huyo nae balaaa
Ahhhhhh,,,,hizi picha zimenichekesha sanaaa,,,,,,,,,, jaman kuna mmoja yupo mahakama ya kisutu pale anaitwa HAMISI,,,,,,hahahaaa huyo nae balaaa
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Oct 16, 2012 #20 Ahhhhhh,,,,hizi picha zimenichekesha sanaaa,,,,,,,,,, jaman kuna mmoja yupo mahakama ya kisutu pale anaitwa HAMISI,,,,,,hahahaaa huyo nae balaaa
Ahhhhhh,,,,hizi picha zimenichekesha sanaaa,,,,,,,,,, jaman kuna mmoja yupo mahakama ya kisutu pale anaitwa HAMISI,,,,,,hahahaaa huyo nae balaaa