Askari mkakamavu kabisa wa jeshi la polisi

Hapo atafurahia nyao tu! Hakika hamkamati ng'o!

TIQO fikiria huyu jamaa hapa akichomoka ... Je ataweza kumkimbiza?!

76%20Fat%20Cop%20About%20To%20Deliver%20Beat%20Down.jpg
 
Mwenye pic ya yule askari wa mahakama ya KISUTU aiweke; atakuwa kawafunika wote hao
 
Na unaweza kujua siri ya ukakamavu wao ni kula, kutofanya mazoezi, nidhamu mbovu nk. Ukifuatilia sana hawa watu wakakamavu jeshini watakuwa na tabia zinazofanana
 
Back
Top Bottom