Askari Mapadri wanaojua juu ya hili mnisaidie!!!

Askari Mapadri wanaojua juu ya hili mnisaidie!!!

Hii ngoja waje watujuze wenyewe maana humu mapadri na askali ni wengi tu.
Hata Papa Benedict XVI ni mjeda na alipigana vita ya pili ya dunia. 90% ya raia wa Vatican ni Intelijensia, gusa unate. Kristu?
 
Hatimaye nimejua nilichokuwa sikijui hii ndo JF sasa kazi ni kwangu kuongeza maana mwazo nishaupata.
 
Wanaitwa Chaplains. Wanajeshi wamesomea dini wanatoa huduma za kiroho jeshini.
 
Hata nyimbo nyingi za majeshi duniani ,pamoja na nyimbo za mataifa mbalimbali zinapatikana ktk vitabu vya nyimbo za kikristo.
Ila yesu hakuwa na dini ya kikristo

Umejikanganya kwenye red; kama huna uhakika na jambo keep silent. Infact maana ya Mkristo ni mfuasi wa Kristo(Christ) na wafuasi wake wakaitwa Christians/Christian au Wakristo/mkristo. Yesu ndiye muasisi wa dini ya Kikristo.
 
umejikanganya kwenye red; kama huna uhakika na jambo keep silent. Infact maana ya mkristo ni mfuasi wa kristo(christ) na wafuasi wake wakaitwa christians/christian au wakristo/mkristo. yesu ndiye muasisi wa dini ya kikristo.
aliasisi dhehebu lipi? Wapi? Lini?
Na wafuasi wake ni wepi?
Catholics
lutherans
anglican
tag
aic
bla blah blah

au

kokobe
mwingira
mzee wa upako
geodavies
misukule

??????

fyi
definition ya mkristo ni mpakwa mafuta.
 
Back
Top Bottom