Askari Mapadri wanaojua juu ya hili mnisaidie!!!

Askari Mapadri wanaojua juu ya hili mnisaidie!!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
askari.jpg
 
Hili si wale jamaa wanajiita jeshi la wokovu.
 
Katika majeshi mengi duniani huwa kuna wawakilisha wa kila dini ambao wana hadhi sawa na viongozi wa dini walioko uraiani,kazi yao kubwa ni kuwa kuwahamasisha wafuasi wao katika imani zao hapo hapo na kuwahamasisha kufanya kazi ya Jeshi kwa moyo mmoja,Hata katika kufanya sherehe za Arusi,Mazishi kwa wanajeshi hivyo kama mwanajeshi akifa shughuli zote za mazishi zinasimamiwa na wanajeshi wenyewe,hakuna haja ya kutafuta kiongozi wa dini toka uraiani.Hii ni kwa dini zote kama ni Mwislamu sheikhe yuko,uwe mkatoliki Padri yupo uwe Mlokole Mchungaji yupo uwe Yahudi Rabbi yuko sijaona tu wenye Imani za Asili.Kwa majeshi ya Tanzania bado hatujafikia huko.
 
Hii ngoja waje watujuze wenyewe maana humu mapadri na askali ni wengi tu.
 
ktk hili KDF wametuzidi mbali sana,wanayo mpaka choir inaitwa Kenya Navy Catholic Choir.kambi yao ya kijeshi pale kahawa wendani ina msikiti kwa ndani.

pata burudani ya Kenya Navy Catholic Choir







CC lawmaina78
 
Last edited by a moderator:
Hata nyimbo nyingi za majeshi duniani ,pamoja na nyimbo za mataifa mbalimbali zinapatikana ktk vitabu vya nyimbo za kikristo.
Ila yesu hakuwa na dini ya kikristo
 
Mimi sio pdre wala askofu.ila ninachojua ni kuwa wapo mapadre ambao pia ni askari wa jeshi.kwa mfano pale chuo kikuu ardhi yupo padre mmoja ni mwanafunzi pale lakini pia ni mwanajeshi na hua anavaa gwanda zake occasinally.hicho walichovaa chenye rangi ya zambarau kinaitwa stola.ndio hasa nguvu au malaka ya kichungaji kwa ampadre na maaskofu(ambao imsingi ni mapadre) zilipo.anaweza hata asivae mavazi ya kawaida ya kiibada ila anaweza uadhimisha ibada takatifu akiwa maevaa hicho kitambaa kinaiwa stola.hivyo sio haramu kwa wao kuvaa sare za jeshi na stola juu.
 
hao ni makamanda wa kati katika jeshi la Yesu
 
Back
Top Bottom