plasido divi
Member
- Feb 1, 2015
- 90
- 21
Nataka kupingana na wewe kwenye swala la elimu.sifa zinazotumika kuajiri kwa majeshi yote Tanzania ni moja tu,kwanza unatakiwa uwe umepitia jkt,au kiujuzi mfano uwe na fani fulani kwa ngazi cheti na kuendelea hivyo basi kwa swala LA elimu majeshi yote ni sawa na mpaka sasa kati ya jeshi la polisi na magereza wenye elimu zaidi ni magereza ,kama hamuamini hilo ukiona kuna askari kumi wa magereza ujue nusu yao wana elimu kati ya degree au diploma na setificate.lakini kwa polisi ukitaka kujua wengi wao in wa elimu ya IV ndio maana unaweza kuona ni mtu mzima kafanya kazi miaka mingi ila bado ni private au cpl wakati unaweza ona kwa askari magereza wanaumri mdogo lakini A/INP na kuendelea.