Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Naona hasira yako dhidi ya wabakaji iko juu mno....vepe ww ulishawahi bakwa labda!!?
Aiseee ningekua nishatolewa kwenye vyombo vya habari dunia nzima maana hicho kisasi chake kingekua cha karne,

Naona unajitahidi sana kutetea wabakaji, vipi ushabaka wangapi mpaka sasa?? my dia kama una uchu sana oa tu hata wake saba lakini ubakaji sio mzuri na una cost kubwa sana.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Zamu yao sasa.. ..mbaya zaidi ni tendon la kuua...hayo mengine wametuchapia sana tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati hao askari wanawabaka wake zenu na marehemu alikua miongoni mwao??

Kwanini binaadam mnakua na mioyo ya kinyama kuliko wanyama wenyewe.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Aiseee ningekua nishatolewa kwenye vyombo vya habari dunia nzima maana hicho kisasi chake kingekua cha karne,

Naona unajitahidi sana kutetea wabakaji, vipi ushabaka wangapi mpaka sasa?? my dia kama una uchu sana oa tu hata wake saba lakini ubakaji sio mzuri na una cost kubwa sana.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Mbona tunawabaka kila siku tunapopasua bikira zenu pindi mkifika umri wa utu uzima 18+....maana pale lazima nguvu itumike otherwise... mission inakuwa incomplete....
 
mwanajeshi hawezi kuuawa kizembe hivyo na mtu mmoja fundi matope.labda alikua mgonjwa
Kwenye kabali kuna mawili: mbinu zako za kujilinda zikifeli(1), ume lose(2).

Ukitaka mfano angalia pambano la McGregor na Khabib na wote ni professional MMA fighters. Angalia kabali aliyopigwa McGregor na angalia alivyokuwa anafurukuta. Unafikiri lingekuwa pambano la kupigania uhai ingekuwaje??
 
Mbona tunawabaka kila siku tunapopasua bikira zenu pindi mkifika umri wa utu uzima 18+....maana pale lazima nguvu itumike otherwise... mission inakuwa incomplete....
Tayari umeshaishiwa hoja, haya sasa karudishe simu ya shemeji.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Ila jamani kuna kabali zingine hatari sana, huyu mjenzi ni mjenzi huru? Au na yeye alipitia mafunzo flani? Unamtiaje kabali mtoto wa kike mpaka anashindwa kupumua unakaba mpaka hapo unapopakusudia pia panaziba. Pale igunga ukiwa mcheshi mbona za mkopo zipo nyingi tu?
 
Tayari umeshaishiwa hoja, haya sasa karudishe simu ya shemeji.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Nimekuchapa kwenye point....ww yako ilitolewaje kama sio nguvu kutumika!!.....maana bila hilo zoezi ungebaki na utepe wako mpaka leo....nadhani umenielewa....haya siku njema kwako stay safe mtoto mzuri...
 
Hahahahahaha

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Anyway sababu ni habari ya gazetini tucukue kama ilivyo.

Ila mtu kunyonga shingo hadi kifa wakati akitaka kubaka. Inaacha maswali.

Proverb 3:5-6
 
How comes soldier unakuwa robed na Fundi tena ujenzi!

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
By the way, tabora nimekumbuka wale waliokuwa wanaitwa watoto wa mbwa, walimla jicho mjeda mmoja, ndio ikawa kiama chao kile kikundi

Proverb 3:5-6
 
Tabora. Esther Gway, askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ameuawa wakati akijinasua asibakwe na anayedaiwa kufanya kitendo hicho ni fundi ujenzi.

Fundi huyo inadaiwa alikuwa akijenga nyumba ya marehemu eneo la Kariakoo katika manispaa ya Tabora.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Januari 28, 2019 kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley amesema tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 27, 2019 saa moja usiku.

Kamanda Nley amesema kwamba mtuhumiwa alimvizia mwanajeshi huyo akiwa nyumbani kwake muda huo na kumkaba shingo kisha kumuangusha chini na katika purukushani za kutaka kumbaka huku akimkaba shingoni alisababisha kifo chake.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi

Chanzo: Mwananchi
Nani ana uhakika kwamba mtuhumiwa alitaka kumbaka na si ugomvi tu? Au ugomvi uliotokana na kudai hela za ujenzi!? Story haijitoshelezi.
 
Back
Top Bottom