- Thread starter
- #21
Kuwa na msiba sio sababu eti sheria zisifuatwe. Sheria za nchi lzm zifuatwe hata kukiwa na msiba wa rais. Kisa kuna msiba magari yatembee na tairi kipara au abiria wavae vimini kisa ni msiba. Sikubaliani na mleta mada na kumvunjia heshma traffic wa kike. Ebo kwani kuzika ni dharula ? Acha umburula
nadhani ww nimmoja wao wanao tesa raia,wange mwachia maiti angeipeleka kwake?nakama nimakosa magari mangapi yazaidi yahayo yana simamishwa yanatoa kitu yanaendelea nasafari?kwakuwa huna chakutoa ndo unang'ang'aniwa?ww hayajakukuta?