Askari Huyu Wipe4063,traffic Ni Janga

Askari Huyu Wipe4063,traffic Ni Janga

Kimbunga2

Senior Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
144
Reaction score
30
Leo Mda Wa Saa Tano Asubuhi,nikiwa Njiani Natokea Arusha Naenda Dsm Nagari Binafsi,tumefika Eneo Liloitwa Kibaoni,marufu Kama King"ori,tukakutana Nakundi Kubwa Lawatu Wamejazana Pale Polis Post,kuna Kakibinda Kapolisi Pale,tuka Simama Maana Hali Ile Haikuwa Nzuri Pembeni Kuna Gari Imepambwa Maua,nawa Mama Wamejitanda Khanga Nikajua Kumbe Nimsiba,duu Ndugu Wa Marehem Walikuwa Wanamsihi Huyu Askari Wakike Awaruhusu Wawahi Mazishi Ila Dada Huyu Alifoka Akisema Hajui Chamsiba Wala Nini?Nika Mfuata Askari Mmoja Wakiume Nikamsihi Tumieni Hekima Mruhusu Gari Iondoke Kama Nitatizo La T,l,b.Wabaki Na Driving Licence Ya Dereva Aje Kulipa Faini Kesho,alinijibu Ee Naww Umetumwa.Nikasogea Pembeni,kilichofutia Mdogo Mtu Wamarehem, Baada Yahuyu Askari Wakike Kuendelea Kupomosha Matusi Mwenye No Hii WIPE 4063,Kusema hata ninyi mnatakiwa mfe msifike kwenye hayo mazishi,dada yule alizimia cjajua kinacho endelea ila wana jf nauliza hii ndo kazi inavyofanyika,kwakuwa mtu anakofia ya serikali basi atukane raia?nawakilisha.
 
Sio halali na askari haruhusiwi kumtukana raia kiasi hicho. Nashauri kama una namba ya IGP mtumie maelezo na namba ya huyo askari ili ashughulikiwe ipasavyo.
 
Ah' maisha ya Tanzania haya ina maana hawawajui trafic vizuri kuwa dawa yao ni hela
 
Ndo polisi wa tz hao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakupongeza kwa kujaribu kuamua ingawa hukuungwa mkono,. Umefanya jambo zuri pia na la kiustaarabu kuichukua namba ya huyo askari kwa uwajibishaji zaidi ili iwe funzo kwa wengine.
 
Watanzania wenzangu kipi bora kati ya uhai na mauti? Je unajua gari ina tatizo gani au dereva anatatizo gani? Kama unajua kwanini askari anazuia gari tuambie tu. Lakini kama hujui tatizo la kusimamisha hiyo gari bora usiseme kitu. Usalama wa walio hai ni bora kuliko maiti inayopelekwa kuzikwa. Kuhusu matusi sijui ukweli wake ila bora utukanwe kuliko kufa.
 
kunakitu kinaitwa tanzania road liecence ili isha jana,ila nahisi yeye alitaka kitu kidogo alivyo ona jamaa haelewiki basi,akakomaa nao,swali lakujiuliza nimagari mangapi yenye makosa zaidi yahayo?
 
Siamini kama hilikweli limetokea na siamini kama kunaaskari anaweza kufanya ivyo
 
Mh inabidi uchunguzi ufanyike juu ya hili suala
 
Watanzania wenzangu kipi bora kati ya uhai na mauti? Je unajua gari ina tatizo gani au dereva anatatizo gani? Kama unajua kwanini askari anazuia gari tuambie tu. Lakini kama hujui tatizo la kusimamisha hiyo gari bora usiseme kitu. Usalama wa walio hai ni bora kuliko maiti inayopelekwa kuzikwa. Kuhusu matusi sijui ukweli wake ila bora utukanwe kuliko kufa.
Kwa hiyo akishatukanwa gari inapona matatizo iliyokuwa nayo, au matusi yanaepusha kifo? Uungwana mbona kitu rahisi sana ndg zangu!!
 
Huenda amesahau haya "Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu".
 
Bila shaka maneno yako yatakuwa yamemfikia kwa wahusika na watachukua hatua stahiki kwa mujibu wa principle of natural justice.
 
Kuwa na msiba sio sababu eti sheria zisifuatwe. Sheria za nchi lzm zifuatwe hata kukiwa na msiba wa rais. Kisa kuna msiba magari yatembee na tairi kipara au abiria wavae vimini kisa ni msiba. Sikubaliani na mleta mada na kumvunjia heshma traffic wa kike. Ebo kwani kuzika ni dharula ? Acha umburula
 
Siamini kama hilikweli limetokea na siamini kama kunaaskari anaweza kufanya ivyo

Ni haki yako kutoamini kabisa maana huenda weye ni katika hao.

Hivyobasi kutoka kwako hupaswi kutoa Imani ya lilotendeka.
 
Kuwa na msiba sio sababu eti sheria zisifuatwe. Sheria za nchi lzm zifuatwe hata kukiwa na msiba wa rais. Kisa kuna msiba magari yatembee na tairi kipara au abiria wavae vimini kisa ni msiba. Sikubaliani na mleta mada na kumvunjia heshma traffic wa kike. Ebo kwani kuzika ni dharula ? Acha umburula

Kwahiyo anaruhusiwa kutukana wafiwa acha ungese wewe.
 
Huyo WP atakuwa na stress za kiwango cha juu kabisa, angrkuwa na bunduki ingekuwa majanga
 
Leo Mda Wa Saa Tano Asubuhi,nikiwa Njiani Natokea Arusha Naenda Dsm Nagari Binafsi,tumefika Eneo Liloitwa Kibaoni,marufu Kama King"ori,tukakutana Nakundi Kubwa Lawatu Wamejazana Pale Polis Post,kuna Kakibinda Kapolisi Pale,tuka Simama Maana Hali Ile Haikuwa Nzuri Pembeni Kuna Gari Imepambwa Maua,nawa Mama Wamejitanda Khanga Nikajua Kumbe Nimsiba,duu Ndugu Wa Marehem Walikuwa Wanamsihi Huyu Askari Wakike Awaruhusu Wawahi Mazishi Ila Dada Huyu Alifoka Akisema Hajui Chamsiba Wala Nini?Nika Mfuata Askari Mmoja Wakiume Nikamsihi Tumieni Hekima Mruhusu Gari Iondoke Kama Nitatizo La T,l,b.Wabaki Na Driving Licence Ya Dereva Aje Kulipa Faini Kesho,alinijibu Ee Naww Umetumwa.Nikasogea Pembeni,kilichofutia Mdogo Mtu Wamarehem, Baada Yahuyu Askari Wakike Kuendelea Kupomosha Matusi Mwenye No Hii WIPE 4063,Kusema hata ninyi mnatakiwa mfe msifike kwenye hayo mazishi,dada yule alizimia cjajua kinacho endelea ila wana jf nauliza hii ndo kazi inavyofanyika,kwakuwa mtu anakofia ya serikali basi atukane raia?nawakilisha.

unakumbuka wale watu 12 wa familia moja waliokufa kwa ajali ya pick up???wangekutana na polisi mwenye msimamo kama huu wasingekufa kwani angewazuia!!! watu 12 kwenye double cabin mnakaaje??? its obvious walikaa kule nyuma ambako ni sehemu ya mizigo sio abiria. lakini akitokea polisi akikukamata kwa kukaa sehemu ya mizigo utasema anataka hela tu na utamhonga bila kufikiria usalama wako.
 
Back
Top Bottom