Askari Huyu Wipe4063,traffic Ni Janga

Askari Huyu Wipe4063,traffic Ni Janga

magari mangapi yanaachiwa kama unaushahidi uweke hapa usiweke majungu kwenye kazi za watu wakati hapa kwako hujakamilika ukikamatwa unahoji mbona yule umwemwachia na ndio maana mnajifanya wajuaji na kuwaporomoshea matusi askari wetu kisa kasimamia haki

kila kazi unayo ifanya,unatakiwa utumie akili,nakuangalia mazingira,road licence kwa mfano imeisha jana,naleo ukapita barabarani huenda umeshaanza process hapo unaonaje hekima askari ukaitumia,hasa ww?mafunzo uliyo nayotumia na akiri pia,
 
ndio maana nikasema wangekutana na askari mwenye msimamo yasingekuwa hayo yaliyotikea lakini askari wa aina hio ndio wanaolalamikiwa

wako 10/100 wanaofanya kazi bila kupepesa macho pembeni.
 
Defender za polisi ni gari za mizigo au za abiria?mpaka kwenye msafara wa Rais zinakuwepo.
 
Wel brother kazi nzuri,tuungane kutetea na kukosoa pale inapoonekana haki haitendeki kwani ubinaadamu kazi. Si hao traffic tu ila watendaji wengi wa serikali wamekuwa hawana uzalendo kwa nchi yao kwa kutenda haki...urasimu umezidi sana hakuna uzalendo tena ni blah blah tu. Mdau hyo force number aka naomba mtumie IGP maana naaminí namba nyingi za viongozi zipo hewani na wazi juu ya urekebishaji wa urasimu uliopo. WP cheo ni dhamana tu,wacha madharaaau hata ss ni watendaji wa ofisi nyeti za serikali na tunatekeleza majukumu ya watu bila matusi wala shari. Kinachowezekana documents zpo chukua rejesha..au fikisha mahala husika.,hii kitu kidogo kitatutoa roho watendaji kwani tumesahau kabisa tulichoagizwa kutoka utumishi na maadili.! Tanzania ndo hii,udongo na anga lake vimejaa dhambi na sumu tete. Nilikuwepo,nitarudi.!
 
Waliokodisha gari kwa ajili ya kubeba maiti walitakiwa walikague kama lina vibali vyote i.e road licence, insurance, fire extinguisher, triangles etc. Sio kuchukua gari tu. Ni uzembe wao
 
Defender za polisi ni gari za mizigo au za abiria?mpaka kwenye msafara wa Rais zinakuwepo.

inategemea unazungumzia defender gani. polisi wana 3/5 doors defenders hizi ni za abiria,pia wanazile pick up hizi ni za mizigo hata kama wenyewe wameamua kukaa sehemu ya mizigo.....unafikiri kwanini zinaitwa PICK UP???
 
Kuna mtu kaongelea double cabin pick up,hairuhusiwi kubeba Abiria nyuma,ikiwa polisi wana bebana kwenye defender pick up.
 
Sio halali na askari haruhusiwi kumtukana raia kiasi hicho. Nashauri kama una namba ya IGP mtumie maelezo na namba ya huyo askari ili ashughulikiwe ipasavyo.

huo mlolongo mrefu, chapa vbaoo .......
 
Leo Mda Wa Saa Tano Asubuhi,nikiwa Njiani Natokea Arusha Naenda Dsm Nagari Binafsi,tumefika Eneo Liloitwa Kibaoni,marufu Kama King"ori,tukakutana Nakundi Kubwa Lawatu Wamejazana Pale Polis Post,kuna Kakibinda Kapolisi Pale,tuka Simama Maana Hali Ile Haikuwa Nzuri Pembeni Kuna Gari Imepambwa Maua,nawa Mama Wamejitanda Khanga Nikajua Kumbe Nimsiba,duu Ndugu Wa Marehem Walikuwa Wanamsihi Huyu Askari Wakike Awaruhusu Wawahi Mazishi Ila Dada Huyu Alifoka Akisema Hajui Chamsiba Wala Nini?Nika Mfuata Askari Mmoja Wakiume Nikamsihi Tumieni Hekima Mruhusu Gari Iondoke Kama Nitatizo La T,l,b.Wabaki Na Driving Licence Ya Dereva Aje Kulipa Faini Kesho,alinijibu Ee Naww Umetumwa.Nikasogea Pembeni,kilichofutia Mdogo Mtu Wamarehem, Baada Yahuyu Askari Wakike Kuendelea Kupomosha Matusi Mwenye No Hii WIPE 4063,Kusema hata ninyi mnatakiwa mfe msifike kwenye hayo mazishi,dada yule alizimia cjajua kinacho endelea ila wana jf nauliza hii ndo kazi inavyofanyika,kwakuwa mtu anakofia ya serikali basi atukane raia?nawakilisha.

Siyo WIPE 4063. Ni WP. Hajatumia busara japo hata hao wenye gari wanatakiwa kufata Sheria za Usalama barabarani.
 
Kuna mtu kaongelea double cabin pick up,hairuhusiwi kubeba Abiria nyuma,ikiwa polisi wana bebana kwenye defender pick up.

kweli mtizamo wa mbali mkuu,
maana pia cku hizi wanazo zile Toyota pick up ........
yaani hata idadi haijulikani, maana askali humohumo na wahalifu humohumo....
hiii ndio Tz bwana...
 
Waliokodisha gari kwa ajili ya kubeba maiti walitakiwa walikague kama lina vibali vyote i.e road licence, insurance, fire extinguisher, triangles etc. Sio kuchukua gari tu. Ni uzembe wao

vigezo na masharti kuzingatiwa ni huduma tu tena kampuni kubwakubwa
lakini si wajibu na haki kuzingatiwa kwa watumishi wengi hs wa hilo jeshi ???

huyo WP alikuwa na Njaaaa tu.
na asipopeleka hesabu kwa mkuu,anahamishwa kituo cha kazi.
 
alafu angewaruhusu nao wapate ajali ndo ungefurahi?
Umepotoka mkuu.
Kwa hiyo wangelipa fine wasingepata ajali,pili tlb inahusiana vp na ubovu wa gari au dereva,kweli vilaza wengi...
 
Waliokodisha gari kwa ajili ya kubeba maiti walitakiwa walikague kama lina vibali vyote i.e road licence, insurance, fire extinguisher, triangles etc. Sio kuchukua gari tu. Ni uzembe wao
Sio kazi yao,wakati unapanda public transport unafanyaga huo ukaguzi..
 
Naaam! Mleta uzi ndg Kimbunga2 amesema gari haina shida ni malipo ya serikali ndiyo shida tu!

Mi nafikiri huyu trafiki hajatenda haki hata kidogo!


Watanzania wenzangu kipi bora kati ya uhai na mauti? Je unajua gari ina tatizo gani au dereva anatatizo gani? Kama unajua kwanini askari anazuia gari tuambie tu. Lakini kama hujui tatizo la kusimamisha hiyo gari bora usiseme kitu. Usalama wa walio hai ni bora kuliko maiti inayopelekwa kuzikwa. Kuhusu matusi sijui ukweli wake ila bora utukanwe kuliko kufa.
 
Last edited by a moderator:
Sio kazi yao,wakati unapanda public transport unafanyaga huo ukaguzi..

Nimesema unapokodi gari; hivyo ni vitu vya muhimu kuangalia na hawa waliokodisha gari. Usikurupuke kuandika tu
 
Kuwa na msiba sio sababu eti sheria zisifuatwe. Sheria za nchi lzm zifuatwe hata kukiwa na msiba wa rais. Kisa kuna msiba magari yatembee na tairi kipara au abiria wavae vimini kisa ni msiba. Sikubaliani na mleta mada na kumvunjia heshma traffic wa kike. Ebo kwani kuzika ni dharula ? Acha umburula

Hivi nyie watu mnaotoa comment za kipumbavu na kurukia matusi kwa mtoa mada,mna maana gani?umesoma na kuelewa Post ya jamaa au umekurupuka na kumwita Mburula?mleta uzi kasema kuwa Traffic anakomaa kwa Road Licence ya Gari kupita muda wake,wewe unaleta maswala ya matairi vipara na ubovu wa Gari,haya yote umetoa wapi,au shobo tuu?wewe na mleta uzi nani Mburula hapa sasa?
 
Sio kazi yao,wakati unapanda public transport unafanyaga huo ukaguzi..

Hawa watu wengine siwanaongeaga tuu kutafuta sifa sababu hawajayakuta au wanajifanya tuu wao ni perfect kwa kila idara. Ukimuuliza sheria ya magari ya Abiria si inasema level seat halafu utakuta Gari limesimamisha abiria kama lumbesa na yeye bado anagombania apande hilo hilo ili awahi kazini au kurudi home,hili halioni but kusema kuwa eti kwanini wasingekagua vibali vya hilo Gari inakuwa rahisi sana.
 
Je unajua vigezo mpaka upewe road licence au kibali cha kutumia barabara? Watanzania tuamke kifikra siyo kuwatukana walinzi wetu kila siku. Kumbuka ili upewe kibali cha kutumia barabara lazima gari yako ikaguliwe na ionekane inafaa kwa matumizi ya kubeba abiria na kutumia barabara. Swali je ile gari imekaguliwa lini mpaka ikabeba abiria? Je kwanini hakurenew hiko kibali? Je uruhusiwe kubeba abiria bila kibali?. Yapi madhara yake akiendesha hilo gari bila kibali?. Baada ya kupata majibu hayo ndipo tulalamike
 
Je unajua vigezo mpaka upewe road licence au kibali cha kutumia barabara? Watanzania tuamke kifikra siyo kuwatukana walinzi wetu kila siku. Kumbuka ili upewe kibali cha kutumia barabara lazima gari yako ikaguliwe na ionekane inafaa kwa matumizi ya kubeba abiria na kutumia barabara. Swali je ile gari imekaguliwa lini mpaka ikabeba abiria? Je kwanini hakurenew hiko kibali? Je uruhusiwe kubeba abiria bila kibali?. Yapi madhara yake akiendesha hilo gari bila kibali?. Baada ya kupata majibu hayo ndipo tulalamike

Kabla ya kuposti muwe mnafanya tafiti hata kidogo jamani ...aliyekwambia road licence ina mlolongo kuipata nani? hata mpesa,tigopesa unalipia leo unakwenda TRA wanakupatia road licence, hakuna ukaguzi wowote .
 
We kama mizigo inatoka Hukonakuja dat kulaliwa na ma oga pale central unahisi hata uandike malalamikovwanapigiana tu simu

Hny usenge gani umefanya unataka misiba Aisee usirudie tena wametuma Maria zanmalaalamiko kuwa makini yanaisha

Tatizo ni wazuri wote ni ma bibi wa wakubwa paale nasaco ndio maana wana viburi
 
Back
Top Bottom