ACTION AND REACTION ARE EQUAL AND OPPOSITE- Yes malipo mengine ni hapahapa duniani,Kazi zingine jamani yaani we kazi yako ni kusubiri vurugu tu ukapige watu tena bila hata kuuliza ilikuwaje,wamejitafutia maadui wengi na wengine huomba mabaya yawafike ndio haya sasa,Wanatimiza ahadi ya bwana mkubwa WAPIGWE TU,TUMECHOKA,na wananchi wanasema na wafe tu TUMECHOKA.