jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,748
- 16,358
duuuh hiii haina mzuka kabisaBebe makamasi yamejaa,
loooh makamasi tena?
duuuh hiii haina mzuka kabisaBebe makamasi yamejaa,
NAMBIE YENYE MZUKA MKUUduuuh hiii haina mzuka kabisa
loooh makamasi tena?
hahahhahahaa, twende tukarenganeNAMBIE YENYE MZUKA MKUU
Duuh hii kaliEnzi hizo mababu zetu walikua wanatumia hii... Hasa kipindi watoto wakiwa sebuleni ule mda baada ya kula cha usiku..
Kama mbaba anataka sex... Anasogelea jiko anachukua kuni anaisukuma jikon (kama anachochea moto)...
Mwanamke akiwa hayuko fresh au yuko period basi ataifwata ile kuna na kuichomoa kabisa...
Hapo mzee anajua leo pakavu...
Kama mama yuko fresh basi nayeye atachukua kuni na kuisukuma jikoni kama alivyo fanya mzee...
Yan hapo mtoto hawezi elewa nini kinaendelea... Kumbe wazee washawasiliana mapema kabisa!!
hahah sawa mkuu ila b4 we ni me au ke???hahahhahahaa, twende tukarengane
HahahaMkuu usinichimbe, tatizo nkiandika hapa wote mtasimamisha midudu yenu, sitaki dhambi hiyo.
Dondoka nikurarie!!-Baby twende kapedo
-Naomba uniangushie bendera
-Baby let's read the constitution
-Fungua server
-Baby twende tucheki shits za chuma nilinunua,
-Sweety leo nataka kalamu na karatasi zifanye mambo
Mi napitia tu comments tuu
Enzi hizo mababu zetu walikua wanatumia hii... Hasa kipindi watoto wakiwa sebuleni ule mda baada ya kula cha usiku..
Kama mbaba anataka sex... Anasogelea jiko anachukua kuni anaisukuma jikon (kama anachochea moto)...
Mwanamke akiwa hayuko fresh au yuko period basi ataifwata ile kuna na kuichomoa kabisa...
Hapo mzee anajua leo pakavu...
Kama mama yuko fresh basi nayeye atachukua kuni na kuisukuma jikoni kama alivyo fanya mzee...
Yan hapo mtoto hawezi elewa nini kinaendelea... Kumbe wazee washawasiliana mapema kabisa!!
Aaaah wapi hamna wa kusimamisha... embu sema tuoneMkuu usinichimbe, tatizo nkiandika hapa wote mtasimamisha midudu yenu, sitaki dhambi hiyo.
Karne ya 21 mkuuhahaaa hii ilikuwa karne ya 19 au?
b4 meaning,hahah sawa mkuu ila b4 we ni me au ke???
ninae wa kunirenga mkuu]b4 meaning, kabla, kwani kama ni ke hutaki kulengwa ama????