Ask your bae for sex without using the word SEX....

Ask your bae for sex without using the word SEX....

Enzi hizo mababu zetu walikua wanatumia hii... Hasa kipindi watoto wakiwa sebuleni ule mda baada ya kula cha usiku..

Kama mbaba anataka sex... Anasogelea jiko anachukua kuni anaisukuma jikon (kama anachochea moto)...

Mwanamke akiwa hayuko fresh au yuko period basi ataifwata ile kuna na kuichomoa kabisa...

Hapo mzee anajua leo pakavu...

Kama mama yuko fresh basi nayeye atachukua kuni na kuisukuma jikoni kama alivyo fanya mzee...

Yan hapo mtoto hawezi elewa nini kinaendelea... Kumbe wazee washawasiliana mapema kabisa!!
hahaha!!! Wazee walikuwa wanateklonojia nzuri sana sema vijana hatutaki tena kukaa na wee watupe madini
 
-Baby twende kapedo

-Naomba uniangushie bendera

-Baby let's read the constitution

-Fungua server

-Baby twende tucheki shits za chuma nilinunua,

-Sweety leo nataka kalamu na karatasi zifanye mambo
Nimemss

Kaoge

Leo huvai shanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujue naharaka

Uwahi kurudi nikwambie kitu
 
hahahaha akija kwangu alafu najifanya sijui huwa anaishia sema 'ujue nataka kuwahi kurudi nyumbani' ama mie naenda nikisema sawa mtu haondoki
 
Vipi ile ya kumeza ya kwangu ipo salama sweetyyy?
 
Mimi nampa tia hii

csm_57004P_Hexagon_HIV_1_2_test_device_175eb1a901-1-e1518104709302.png
 
Back
Top Bottom