Asilimia mia moja tunapita, ila kuna sharti dogo sana

Kwa heshima kuu,
Waliokaribu na Mzee Mwinyi, watuombee sisi Watanzania kwa Mzee., ili neno au nuksi la kichwa cha mwendawazimu kila mtu hujifunzia kunyoa, sasa muda wa kuliondoa umefika la sivyo tukiendelea nalo bila muhusiko kuliondoa

Basi hiyo ni laana ambayo itatutafuna vizazi na vizazi,

Kumbuka hili neno Mzee alilitoa mwaka 1987, leo ni vizazi vingapi, watu wameshajukuu.

Nawasilisha
Bora lile neno angetamka kwa mkewe ila sio mbele ya hadhara, ametutia nuksi.
 
Mashabiki wa taifa stars hamnazo. Kuna timu pale ya kwenda round ya pili? Kocha kasema pale kuna majina tuu hakuna wachezaji.
Sasa yeye mwenyewe anachagua wachezaji ligi daraja la saba huko ulaya unaacha watu wanaocheza champions league africa
 
100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,

Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya

Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho Moroco anamfunga Zambia sie tunamchapa DRC na tumepenya fasta tu

Yaani hii draw ya Zambia na DRC imetubeba sana Lakini je, Watakubali kuwaacha wachezaji wao wanaowapenda? Kwa ajili tupite?
HAMUWEZI PITA MIMI NIMEKAA HAPA. MPIRA SIYO UHAMASISHAJI.
 
Mimi bado nabaki optimistic kwamba tutavuka hatua hii.

iko hivi mashindano yana timu 24.
Katika hatua hii zinachujwa timu 8 tu.
Timu 16 zitabaki kwa hatua inayofuata..

Kwa msingi huu, hata watakaoshika nafasi ya tatu kwny group level (watakuwa 6) wa4 kati ya 6 watafuzu straight kupitia dirisha la best loser.

Hivyo stars wetu hata wakishinda mechi moja tu watafuzu kama ilivyokuwa kwa Malawi afcon iliyopita.

Tujiepusheni na malawama ya kifala
 
Timu lako la Kifala ....

Huwezi epuka lawama.
 
Tunahitaji kocha wazalendo yaani watanzania,ikiwezekana Serikali igharamie kusomesha makocha 100 kwa mwaka mmoja ulaya,kipaumbele kocha awe mtu aliyewahi kucheza mpira ...tutapiga hatua kuliko hawa makocha wa kigeni.Tujifunze kwa waliofanikiwa wengi walitumia kocha wazalendo
 
100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,

Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya

Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho Moroco anamfunga Zambia sie tunamchapa DRC na tumepenya fasta tu

Yaani hii draw ya Zambia na DRC imetubeba sana Lakini je, Watakubali kuwaacha wachezaji wao wanaowapenda? Kwa ajili tupite?
Rome was not built in a day. Kwa nini tusianze kuwaandaa vijana. Naona walioitwa wanaleta matumaini.

Samatta, Msuva, Manula , Tshabalala ni mzigo tu. Waacheni wastaafu.
 
100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,

Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya

Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho Moroco anamfunga Zambia sie tunamchapa DRC na tumepenya fasta tu

Yaani hii draw ya Zambia na DRC imetubeba sana Lakini je, Watakubali kuwaacha wachezaji wao wanaowapenda? Kwa ajili tupite?

Tungekuwa tunacheza kama Msumbiji ningekubali, ila kwa mpira wa Jana hamna kitu. Tena kwa Zambia na DRC tutapigwa nyingi, maana morrocco alituchukulia poa Jana.
 
Back
Top Bottom