Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Utafiti huu nmeufanya kwa wanawake zaidi ya 100 wengi wanakiri hawakuwa waki enjoy mapenzi na their first boyfriends. Mpaka kuanzia wa tatu na kuendelea au wa pili.
Kisaikolojia image ya tendo la siku ya kwanza hubaki kichwani na kuonesha hali ya maumivu kila wanapoingilia kimwil hujenga picha ya mwingilio wa kwanza. Hivyo jambo hili huendelea kila wanapokutana na mwanaume yule yule.
Mahusiano hubadilika kwa mwanaume wa pili na sana sana wa tatu. Hapo wanawake huanza ku feel utamu wa tendo husika. Na huanza kufikia mshindo.
Kabla ya hapo wanawake wengi huwa hawamalizi wanapofanya mapenzi na boyfriends wao wa kwanza. Na wengi mahusiano yao huvunjika mara baada ya kuanza kufanya mapenzi.
Wanawake naamini pia nanyi mtatoa ushirikiano wenu katika huu utafiti.