Asilimia kubwa ya wana-CCM ni wasakatonge tu

Status
Not open for further replies.
Hivi unadhani akili ya kupinga kila jambo ni I.Q kubwa.Wewe ndio unaonesha jinsi ya uwezo wako wa akili ulivyo mbele za watu. Pole sana Usimdharau usie mjua , kwa taarifa yako nakufahamu uwezo wako
Mkuu Viladimiri, pole tena!, Sir Isaac Newton, alipotaka kupima muda wa kuchemsha yai mpaka liive, alitumbukiza saa kwenye sufuria na kuichemsha, huku amelishika yai mkononi akisubiri yai liive!.

Archemedes alipokuwa akifanya utafiti wa "the law of flotation", alikuwa bafuni, na alitoka mbio hivyo hivyo alivyo, kama alivyozaliwa!, na kuingia mtaani huku akiimba "eureka!" "eureka!" akimaanisha "nimegundua!, nimegundua!, hivyo no matter how fit you are huko kichwani kwako interms of I.Q, kwa nilichojibu kwenye uzi huu, wewe umetoka kapa kabisa!, hivyo kwa mujibu ya jibu lako kwangu, ukilinganisha na mimi nilijibu nini, wewe ni kilaza tuu!.

Hata hivyo, usinyong'onyee kwa wewe kuwa kilaza, hakumaanisha mimi ndio jiniasi!, no way!, na mimi pia nina ukilaza wangu katika baadhi ya maeneo, ila pamoja na ukilaza huo, kuna maeneo yangu ya ubingwa!, jibu langu la msingi kwenye uzi huu, ni moja ya maeneo yangu ya ubingwa!, ambalo wewe umetoka kapa!.

Kutojua kitu fulani sio kosa!, na sio ukilaza!, na wala kutoelewa posti fulani humu pia sio kosa, na sio ukilaza!, ndio maana kuna watu humu wanajisomea na kujipitia bila kujibu kitu au bila kuchangia kitu!, ila inapotokea, mtu amejibu kitu, asiyeelewa akajibu utumbo, hapo ndipo ukilaza unapoingia!. Naamini 100% chini ya 100%, hukuelewa nilijibu nini, ndio maana ukanipakulia ule utumbo!, kumbe sisi wengine hata utumbo nao huo tunamez, tena mzima mzima sometimes hata bila kutafuna!.

Ushauri wa bure kwako, next time ukikuta post kama hujaielewa, rudia tena na tena, usipoelewa, uliza!, kuliko kuwapakulia watu utumbo humu, sometimes sio lazima kuchangia!.

Pole tena!.

Pasco.
 
Si wasakatonge tu bali wana mtindio wa akili.
 
Asilimia kubwa ya viongozi walioko CCM ni wasakatonge tu.

Maana kama kipindi hicho chote wameshidwa kuikomboa nchi yetu kwenye umasikini.
Eti leo tena unaenda kwa wanainchi unaomba akupe kura ili uwanyaje?. kama kipindi hicho chote umeshidwa.

Tofouti na kutafuta nafasi ili muimbe vizuri natural resource za nchi. mnatafuta nini?

Swali moja tu kwa wanaccm anayepingana na hoja yangu hapo juu.

(i)Kwa nini taifa la Tanzania ni masikini sana kuliko kenya ili hali tuko ukanda mmoja, ni kitu gani wanachotuzidi wakenya hadi wawe na uchumi mkubwa kuliko sisi?. ni kwa nini bangi na madawa ya kulevya hukamatwa mara nyingi sana jiani yanapokuja dar es salaam., hizo pembe za dovu huwanga zinapita barabara za wapi hadi kufika bandarini?.
Samahani unamaanisha hawa ?
 
Mkuu Viladimiri, pole tena!, Sir Isaac Newton, alipotaka kupima muda wa kuchemsha yai mpaka liive, alitumbukiza saa kwenye sufuria na kuichemsha, huku amelishika yai mkononi akisubiri yai liive!.

Archemedes alipokuwa akifanya utafiti wa "the law of flotation", alikuwa bafuni, na alitoka mbio hivyo hivyo alivyo, kama alivyozaliwa!, na kuingia mtaani huku akiimba "eureka!" "eureka!" akimaanisha "nimegundua!, nimegundua!, hivyo no matter how fit you are huko kichwani kwako interms of I.Q, kwa nilichojibu kwenye uzi huu, wewe umetoka kapa kabisa!, hivyo kwa mujibu ya jibu lako kwangu, ukilinganisha na mimi nilijibu nini, wewe ni kilaza tuu!.

Hata hivyo, usinyong'onyee kwa wewe kuwa kilaza, hakumaanisha mimi ndio jiniasi!, no way!, na mimi pia nina ukilaza wangu katika baadhi ya maeneo, ila pamoja na ukilaza huo, kuna maeneo yangu ya ubingwa!, jibu langu la msingi kwenye uzi huu, ni moja ya maeneo yangu ya ubingwa!, ambalo wewe umetoka kapa!.

Kutojua kitu fulani sio kosa!, na sio ukilaza!, na wala kutoelewa posti fulani humu pia sio kosa, na sio ukilaza!, ndio maana kuna watu humu wanajisomea na kujipitia bila kujibu kitu au bila kuchangia kitu!, ila inapotokea, mtu amejibu kitu, asiyeelewa akajibu utumbo, hapo ndipo ukilaza unapoingia!. Naamini 100% chini ya 100%, hukuelewa nilijibu nini, ndio maana ukanipakulia ule utumbo!, kumbe sisi wengine hata utumbo nao huo tunamez, tena mzima mzima sometimes hata bila kutafuna!.

Ushauri wa bure kwako, next time ukikuta post kama hujaielewa, rudia tena na tena, usipoelewa, uliza!, kuliko kuwapakulia watu utumbo humu, sometimes sio lazima kuchangia!.

Pole tena!.

Pasco.

Daah! wewe Pasco siyo mchezo…kama dongo hili ungenirushia mimi basi hapa nisingeonekana hadi mwezi upite.

Punguza ukali wa maneno looo!
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh kama omba omba kweli ccm imekwisha, subiri nikirudi nyumbani kijijini nachapa bango kubwaaa la picha hii nikaliweke mitaani watu waone hehehe!!

be careful , UTAROGWA VIBAYA SANA ! Sumbawanga bei ya radi ya kumrarua mtu ni 1500 tu !
 
Wengine hawa hapa .
Duh. Mkuu umenifanya nicheke sana. Hawa kwani wana tofauti na mataahira? Badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi maccm yako yanatoana roho. Kweli ukistaajabu ya Kikwete, ya wafuasi wake ndio utazimia
 
Nakuambia kwenye uzi huu wamepita kimnya kimnya! yaani ni sheeenda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom